Recent content by SURUMA

  1. S

    JamiiForums Tanzania Dodoma: DC Katambi aamuru kijana aliyeropoka ''Umetumwa'' akamatwe na jeshi la Polisi

    Hii ni Level ya kutukuka ya UUNGWANA NA BUSARA......Bado sisi na viongozi wetu tuko katika safari ndefu kufikia KIWANGO HIKI
  2. S

    JamiiForums Tanzania Ipe maneno picha ya leo....

    Don't get scared I am a VEGETARIAN:-)
  3. S

    JamiiForums Tanzania If I can turn back the time...

    Mkuu hiyo ni LEYLAND...:-)
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kuelekea mezani na ACACIA, tumepigwa kabla ya meza?

    Mkuu masahihisho kidogo; Adnan Kashogi alishafariki
  5. S

    JamiiForums Tanzania Star wa filamu ya home alone amefariki dunia

    Mkuu si utulie kidogo USOME na kupata ujumbe ndio u-comment??? Hakuna anayekukimbiza:-)
  6. S

    JamiiForums Tanzania Mabinti na Wanawake wa Makanisa ya Kiroho huwa mnakera sana kwa hii Kauli yenu yenye kuudhi

    :-) Mkuu hii ya KUOKOLOKA imeniacha hoi!!!
  7. S

    JamiiForums Tanzania Wewe jibapa wewe

    Hapo anahangaika kupata maana ya jina Konyagi baada ya kuibadilshanisha O na I kwenye jina hilo:-)
  8. S

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini wanawake hawapishani kwenye siti wakiona mwenzao mjamzito kasimama?

    Mimi huwa nafananisha hii roho mbaya ya akina dada (mama) na suala la wachawi wengi duniani kuwa wanawake...Wakatili sana hawa ........
  9. S

    JamiiForums Tanzania Rais wa Zambia Edger Lungu, Apigiwa Magoti na Waziri Wake

    Hata kama ni kutubu; anatubu na RAIS anasikiliza kutubu kwake??? Kwa hali yoyote hii haiko sawa
  10. S

    JamiiForums Tanzania Swala la kufanya ngono ndani ya gari wadada huwa mnapenda au?

    Mkuu labda aliona rhythm ya mtikisiko wa gari ambayo haoni waliomo (tinted) lakini gari inakuwa kama MTUMBWI unaokata mawimbi:-)
  11. S

    JamiiForums Tanzania ULOZI: Mbeya mnafaidikaje?

    Mkuu kwenye products zako kwenye kampuni yako ya BIMA hukuwa na BIMA DHIDI YA ULOZI???? :-)
  12. S

    JamiiForums Tanzania Rashid Makwiro (Chid Benz) hali yake ni tete kutokana na matumizi makubwa ya madawa ya kulevya

    Huyu hana u-BENZ tena; nitampendelea hata kumuita Chid-IST:-(
  13. S

    JamiiForums Tanzania Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    Ngariba haogopi mkojo..
  14. S

    JamiiForums Tanzania Unaweza kumtambua mchezaji gani?

    Mzee MEKO:-)
  15. S

    JamiiForums Tanzania Mwenye alimpa huyu mzee microphone mungu anakuona.

    Hahahahahaha:-) Mkuu asante sana for making my day:-)
Back
Top Bottom