Recent content by Surgical Blade

  1. S

    JamiiForums Tanzania The most powerful system (SuperComputer)

    wachina tena nin wickerman ?
  2. S

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu pd proxy

    we mtoto wewe, me jukwaa hli hata sikanyagag ila nimekuja ksa upuzi wako
  3. S

    JamiiForums Tanzania Jinsi Ya Kuifanya sim card, moja itumie mitandao miwili,> mwenye Idea tafadhali

    Umewah kuona lain zina katwa na kuunganishwa?
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) atengeneza mtandao wa kijamii

    thr z no system which can be full secured, bt at least r half full, . Still Mmekurupuka, featuares nying sana bado, bado hamjaziweka, na pia haina mvuto kabisa kwenye sim, vitu hv havianzag tu kirahis rahis, na kama mpaka sasa hamjui bugs mlizo nazo, na hata m2 hawez kupoteza muda wake ili...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Jinsi Ya Kuifanya sim card, moja itumie mitandao miwili,> mwenye Idea tafadhali

    sidhani kama upo sahih na unacho kisema
  6. S

    JamiiForums Tanzania Jinsi Ya Kuifanya sim card, moja itumie mitandao miwili,> mwenye Idea tafadhali

    Jaman mwenye mchango wowote kuhusu suala hili tafadhali. . middlebopper natanguliza
  7. S

    JamiiForums Tanzania Nataka niwe naflash sim

    Humu ndani wapuuz weng, yan hata hawajui wameingia jukwaa gan, kama huyo hapo juu, Kwel pumba za kumjibu mwenzie, . Niliwaona kibao tu, kwenye Thread ya Wi-Fi kuna wapuuz et Wi fi ni dada ake na nan sijui, watu hawapo makn
  8. S

    JamiiForums Tanzania GONE TOO SOON...R.I.P Pd Proxy

    Oya wakubwa munjy1 ...... njunwa wamavoko , . Geukianen kwa PM bwana.... hiì ki2 iko Tanzania wide, watu weng wanaitegemea sasa fahari wawili, mki2nishiana Hawa Nyasi Watazid kuumia tu, vi2 vidogo vidogo hv, Geukianen kwa PM tu Wakuu
  9. S

    JamiiForums Tanzania To unlock locked new smartphone!!

    unacho msaidia hukijui/ bado huyo dada hajajieleza vzury, kama simu haisomi network zote/au imelokiwa na code
  10. S

    JamiiForums Tanzania Jifunze kuingia kompyuta yoyote yenye password

    heeh si ndo yule, mwenye HTC ya bei kubwa/ unataka kujua password za Wi fi tu?
  11. S

    JamiiForums Tanzania Mkapa alitudanganya, Mwl Nyerere hakufariki Oktoba 14 !

    Kaka nahis 2medanganywa kwely! Sijui ulijuaje
  12. S

    JamiiForums Tanzania Nokia asha 200

    hzo weakness niliziona, kwenye Nokia X-pless music, kumbe mpaka Nokia Asha, . Hapo kama browser haifunguk ndo bas tena, Pole sana weakness of Nokians, . Labda kama mungu atakuona nawe pia
  13. S

    JamiiForums Tanzania GONE TOO SOON...R.I.P Pd Proxy

    sizani kama zina uhusiano/ wowote ule na Internet speed, ila hzo ni kb za contacts and sms storage ktk line, . Nimeishia hapo
  14. S

    JamiiForums Tanzania Hack any facebook account, fast & free!

    hapo Secret Service Umenena, . Huyo aliye post hii ki2, akajaribu ku hack User aliyeweka namba ya simu as email, ndipo atakapo uona mziki wake!
Back
Top Bottom