Recent content by support wpn

  1. support wpn

    JWTZ inatarajia kufanya mazoezi mawili ya kijeshi hivyo imewataka wananchi kutokuwa na hofu

    hakika mtoa uzi umeandika vitu vya msingi sna, tunatakiwa kuchukua hatua sna kwenye security ya nchi yetu maana amani ya mashariki ya kongo inaipact sna kwenye usalama wa nchi yetu
  2. support wpn

    Tetesi: Tetemeko la ardhi Kigoma leo alfajiri

    Kuna tetemeko dogo limepiga Leo kigoma wilaya ya buhigwe alfajiri
  3. support wpn

    Ukitaka kuishi vizuri Dar es Salaam ishi Kigamboni

    Mimi nimekaa sehemu mbalimbali dar,but kigamboni is the best place hakuna foleni, nyumba zimekaa kwa nafasi Hali nzuri ya hewa n.k nimepanga but next month naanza ujenzi kwenye kiwanja changu kisarawe 2 mwasonga
  4. support wpn

    Wito kwa Dkt. Faustine Ndugulile na Mhandisi Kilaba; Semeni ukweli kuhusu vifurushi

    Mbona mpka muda huu vifurushi viko vilevile havijabadishwa
  5. support wpn

    Mauaji katika Fungate (je ni kweli Shrien Dewan alipanga mauaji ya mke wake?)

    da hatari sna unaweza ukauwa mtu nausikutwe na hatia
  6. support wpn

    TAFAKARI: Kwanini Rais anaogopa kutubu?

    sala ya toba kwa kitu gani
  7. support wpn

    Mgao wa umeme umerudi? Sehemu zingine umeme ni wa saa kadhaa tu

    Arusha iliboru umekatika saa 3 mapka saa 2
  8. support wpn

    Morogoro: Albino mwenye miaka 75 akatwa mkono na watu wasiofahamika na kutokomea nao

    Nimeangalia habari hii itv rohoo imeniuma sna mzee kma yule unakwenda kumpa maumivi ya kiasi kile mungu awalahani mahayawani
Back
Top Bottom