Recent content by supplanter genuine

  1. supplanter genuine

    Paka wangu anazaa mnoo, nifanyeje wadau?

    Anzisha biashara ya kuuza paka itakulipa maana unakiwanda cha kufyetulia
  2. supplanter genuine

    Majina ya kizungu au kiarabu na maisha ya kiroho

    Yana maana mkuu,ndio maana yesu aliwabadilisha majina wanafunzi wake .
  3. supplanter genuine

    Nafundisha forex, nakufuata ulipo nyumbani au ofisini kwako.

    mkuu mimi nimejifun mkuu mimi nimejifundisha mwenyewe niko vizuri soon nitaweka link za youtube namalizia ili kila mtu ajifundishe mwenyewe,tukapambane kwenye trading na sio kuibiana huku.
  4. supplanter genuine

    Makosa ambayo vyuo vingi vya Tanzania wanafanya

    Wakuu habari zenu, kuna jambo nimeliona kwenye vyuo vyetu vya Tanzania maana kwa hawa walimu wetu, waliotufundisha mavyuoni, nimekuja kugundua kumbe ndio chanzo kikubwa cha wanafunzi wetu kutokuwa na uwezo wa kutokuthubutu hata kuomba kazi nchi za watu, kujiajiri wenyewe hata kama hiyo course...
  5. supplanter genuine

    Kama umemaliza chuo na unatafuta kazi soma hapa itakusaidia.

    Wakuu nataka kushare na nyinyi kaistoria haka na amini kwa namna moja au nyingine inaweza kukusaidia kwenye maisha yako kama unatafuta kazi. Baada ya kumaliza chuo mtihani wangu wa mwisho ilikuwa mwezi wa saba sikurudi kijijini kwetu nilikaa hapo moro town mwezi moja kwa kwandugu na...
Back
Top Bottom