Paka wangu anazaa mnoo, nifanyeje wadau?

Paka huyu kazidisha umalaya usiku nakosa usingizi maana analeta wanaume wa kila aina nyumbani mbaya zaidi anagonganisha wanaume na anasabisha ugomvi nyumbani badala ya raha inakua karaha ni vita usiku kucha yani silali...

Huyu paka kazidi kuzaa hadi sasa kazaa mara 18 kwa ratio ya watoto wanne hadi watatu.. Yani akiwa ananyonyesha tayari vidume wamempachika mimba nyingine yani hakomi...

Nifanyeje ama kuna utaratibu wowote wa uzazi wa mpango? Kama kugegedwa huyu paka kagegedwa vya kutosha uzuri wake anapenda kushinda nyumbani na panya ni hadithi kwangu.. Ila inakua kero vitoto vinakua vingi hvyo napata taabu ya kuvigawa kila baada ya kujifungua..

Kama utaratibu upo wa kufunga kizazi ama uzazi wa mpango wa wanyama mnipe utaratibu..
e3318d8d860e08f7255224130a2ff425.jpg
e1640afb6b09faaeb11e147c2a7c8f75.jpg
kwa bibi nyau unapajua.hapo utaratibu utaupata
 
Pole mkuu, nilifuga jike mara moja tu likatoroshwa na njemba moja ilikuwa inakuja nyumbani linaishia nje ikiunguruma tu mamaa humo ndani hakieleweki mtamfungulia tu mlango mwisho akaona isiwe shida akahamia kwa Jirani, Jirani akaniambia nikamwambia baki naye tu yaani kazaa huyo, kwa sasa naishi na mjukuu wake mmoja Ila dume maana niliapa sifugi tena jike
Madume nayo hayashindi nyumbani
 
Paka huyu kazidisha umalaya usiku nakosa usingizi maana analeta wanaume wa kila aina nyumbani mbaya zaidi anagonganisha wanaume na anasabisha ugomvi nyumbani badala ya raha inakua karaha ni vita usiku kucha yani silali...

Huyu paka kazidi kuzaa hadi sasa kazaa mara 18 kwa ratio ya watoto wanne hadi watatu.. Yani akiwa ananyonyesha tayari vidume wamempachika mimba nyingine yani hakomi...

Nifanyeje ama kuna utaratibu wowote wa uzazi wa mpango? Kama kugegedwa huyu paka kagegedwa vya kutosha uzuri wake anapenda kushinda nyumbani na panya ni hadithi kwangu.. Ila inakua kero vitoto vinakua vingi hvyo napata taabu ya kuvigawa kila baada ya kujifungua..

Kama utaratibu upo wa kufunga kizazi ama uzazi wa mpango wa wanyama mnipe utaratibu..
e3318d8d860e08f7255224130a2ff425.jpg
e1640afb6b09faaeb11e147c2a7c8f75.jpg
Mbona paka mwenyewe anaonekana mdg sana huyo?
 
mbona paka wako anaonekana mpole mtaratibu na yamkini hajui kabisa hayo mambo unayomtuhumu.Au kuna kitu kakunyima mkuu??
 
Paka dume hadumu nyumbani ata siku moja
Wangu yupo miaka sasa Ila halali ndani ikifika saa tatu usiku anasimama mlangoni au anatakuja sebuleni ana mlio wake tukimsikia tunamfungulia harudi hadi saa Kumi na moja alfajiri kuna mtu akitoka kwenda msikitini yeye anaingia moja kwa moja kwenye chombo cha chakula anakula ndio anakwenda kulala hapo litalala hadi saa tatu asubuhi ndio anatoka
 
Mimi nina Paka dume ana 5 yrs now japo simfugi kwa ajili ya Panya, nampenda tu na muda wote yupo home isipokua usiku lazima akapashe kwanza.... lol

Ila si kweli kua Paka atakua anaenda kwa mademu hii dhana ipo hata kwenye chakula ati usimpe paka chakula mara kwa mara atakua hakamati Panya, wanasahau Paka na Panya lile bifu lao ni la asili hata awe kashiba vipi akimuona lazima amuue.
Mkuu vipi kuhusu chakula hachagui? Maana wangu anakula dagaa, samaki, nyama, chips, tambi na vile tunavyokula ni lazima na yeye umuwekee katika chombo chake la sivyo jicho atakalokuangalia unaweza hata kupaliwa.
 
Sasa afadhari paka huwa anafuatwa na madume alipo yeye, mbwa jike yeye hufuata madume hata kama yeye anakaa tegeta na madume yako tandale, atafunga safari. Ndio maana wazungu wakaona waambatanishe na tusi BITCH. Ukiambiwa YOU ARE A BITCH or SON OF A BITCH ni tusi moja kubwa sana la kukuhusisha na umalaya kama wa mbwa jike.
Aiseee
 
Back
Top Bottom