Recent content by supira

  1. S

    JamiiForums Tanzania Original Commedy yaivua nguo CHADEMA!

    Hawa jamaa hawana jipya tena, kwisha habari yao mtu hawezi poteza mda wake kutazama olojino comedy kwani wako kwa manufaa ya serikali na siwananchi....
  2. S

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara Kariakoo wagoma tena, Jiji lasimama

    Mashine ni janga kwa biashara imekuja kwa Lengo la kuwafilisi wanyabiasha,,
  3. S

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara Kariakoo wagoma tena, Jiji lasimama

    50% ya pato la nchi hii linalipwa na wafanyabishara na si wafanyakazi wala wakulima, je iweje Leo tunaonekana tunakwepa kodi!! .. Tunalipa kodi na tutaendelea kulipa Kwan hakuna nchi inayoendelea bila kodi
  4. S

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara Kariakoo wagoma tena, Jiji lasimama

    Mfanyabiasha analipa kodi tena kubwa sn lkn hasaminiwi na serikali anaonekana Kama bepari,, mfumo wa utozaji wa mashine utazamwe upya... Kodi bila mashine inawezekana ...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Mashine bei juu (efd), angali bei ya vifaa wanavyouza wao kariakoo

    Mtu anaekaa ofisini hawezi kujua ugumu wa biashara kwa sasa,, mfanyabiasha wa kawaida kwa nchi hii kwa sasa anaonekana Kama bepari Kumbe yeye ndiyo mlipa kodi... Wanalipa kondi nyingi sana Kama ulizi, usafi na nyingine nyingi huku serikali hajamjengea mazingira mazur ya kufanya kazi.. Leo hii...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Efd mwanza mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya pili:-

    Kitaeleweka tu hanunui Mtu hizo mashine
  7. S

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa EFDs: Kilichopo nyuma ya pazia. Serikali isimame IMARA

    Wafanyabiashara wanalipa kodi na nikodi kubwa kuliko hata nchi za jirani tzn tunaongoza kwa kodi lkn ni masikin wa kutupwa,, je kodi hyo inaenda wapi? Madai yao ni yamsingi sn kwanza wanao lengwa hapo ni wafanyabishara wadogo ambao hawawez kumudu garama za hiz mashine,, kwani zinagarama kubwa...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Serikali yaridhia umeme kupanda Kuanzia January 2014!

    Wanauzi sn hawa jamaa kla mwaka umeme unapanda huku mgao uko pale pale na miundo mbinu yake iko vile vile mibovu, hapa inamaana tutegemee mfumko wa bei kuongezeka... Eti maisha bora bt DAWA YENU 2015 Mtavuna mnachokipanda.....
  9. S

    JamiiForums Tanzania Walisema CHADEMA itakufa mwaka huu kumbe ni wao ndio wanakufa!

    Chandema itaendelea kuwepo mpaka ihakikishe mafisadi ccm wameondoka madarakani......
  10. S

    JamiiForums Tanzania Zitto, Kitila na Mwigamba wajisalimisha CHADEMA

    Chadema iko makin sn sio Kama magamba, magugu wote watatimuliwa tuone wataenda wapi...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Changamoto kwa Chadema

    Watu waliofiliska kisiasa huishia kwenye udini na ukabila, hawa wanaokiita chadema ni chama cha kikanda wamefilisika kisera... Hawa jamaa ni wanafki wanakiponda chama huku wanaendelea kuwepo siwaondoke...
  12. S

    JamiiForums Tanzania CDM,tumwondoe zitto,tukijenge chama.

    Zitto hafai kabisa Kwan hayupo pamoja na chama ktk ukomboz wa taifa hili,, chama kitayumba lkn inalazmu kuchukua maamuz magumu...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Lindi ajiuzulu. Adai Kamati Kuu ya CHADEMA imefanya maamuzi ya kijuha!

    Mtu akianza kuleta hoja za udini ujie kafulia kisiasa na hafai, we nenda Zako hufai katka siasa....
  14. S

    JamiiForums Tanzania SANAMU LA KUSTAAJABISHA HILO UNALIONAJE SEMA WEWE MWENYEWe

    Mhh! Linatisha sn aisee
  15. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA tutaendelea kuwafukuza Wasaliti na Bweha wadogo;Katibu wa CDM Mkoa Arusha!

    Busara itumike zaid hapo ni kweli zitto anaweza kuwa na makosa lkn tukumbuke hata mazur alyofanya kwa kukuza chama.......
Back
Top Bottom