Mtu anaekaa ofisini hawezi kujua ugumu wa biashara kwa sasa,, mfanyabiasha wa kawaida kwa nchi hii kwa sasa anaonekana Kama bepari Kumbe yeye ndiyo mlipa kodi... Wanalipa kondi nyingi sana Kama ulizi, usafi na nyingine nyingi huku serikali hajamjengea mazingira mazur ya kufanya kazi.. Leo hii Mtu akitoa kontena hapo bandarini haruhusiwi kuingiza mjini ambako sitoo ziko eti anaharibu barabara, lkn karipa kodi hapo bandarini tena kubwa sana anaambia hatutaki kuona unaingiza Lori mjini ashushe nje na sitoo zake bila hata kupewa ulizi... Hizi ni baazi ya Kero anazopata mlipa kodi,, sasa wameleta mashine (efd) hii tatizo sio bei tu, uendeshaji wa Hizi mashine unagarama kubwa sn ikiharibika Kuwaita tu hela kabla matengeneo na Kama kunakifaa kimeharibika hela yake ndefu bado bei ya karatasi za risiti... Pia mfumo wa kodi uliopo kwa sasa ni mkubwa mno unawafanya hata wafanyabishara kutoka nchi jirani kupungua sana na Kama Hizi mashine Kama hawarekebisha mfumo wa kodi watatoweka kabisa... Serikali inabidi ijenge urafiki na walipa kodi wake kwa kutoza kodi ya kawaida, kwani itawafanya kupenda kulipa kodi bila kukwepa... Leo hii Mtu akitaka kufungu a duka anatozwa asilimia kumi ya hela aliyo lipia kibada cha biashara huku hata kazi hajaanza.. Lakin muwekazaji kutoka nje bure miaka mitano ....