RAIS SAMIA: 2024 MWAKA WA KIHISTORIA; MITANO TENA.
Na: Suphian Juma Nkuwi,
Disemba 31, 2024 majira ya saa 3 usiku katika mkesha wa kuelekea mwaka mpya wa 2025, Rais wetu mpendwa, Dkt Samia Suluhu Hassan alitoa hotuba akiuita mwaka 2024 mwaka wa "kihistoria" kupitia vyombo vya habari ambapo...
DR NCHIMBI; RAIS NA CCM HATUHUSIKI NA UTEKAJI
Hotuba ya leo Septemba 13, 2024 ya Katibu Mkuu wa CCM, Dkt Nchimbi ni ya kihistoria. Amezungumza vitu vigumu kwa lugha rahisi kuonesha 4R za Rais Dkt Samia bado zipo hai sana.
Hotuba yake imebainisha mambo 10 ambayo pasina shaka Rais Dkt Samia na...
UMEONA RAIS SAMIA ANAPIKA KWA NISHATI SAFI⁉️
Leo nimeona kipindi TBC Rais Dkt Samia akipika kwa kutumia nishati safi ya umeme na gesi. Kitu ambacho ni nadra na nadhani hakijawahi kutokea kwa Rais yeyote nchini kama sio Afrika nzima.
Shirika letu la TAA tunaoratibu kampeni ya kupanda miti ya...
Wamasai hawana ardhi yao, ardhi ni yetu sotekwa Sheria ya ardhi ya 1999.
Aidha Rais Dkt. Samia aliwahamisha FAIRLY Ngorongoro hadi Tanga na kuwapa upendeleo kuliko kabila lolote; makazi, elimu, afya, malisho bure.
Wanaowafunda Wamasai migogoro dawa yao inachemka.
Tuelimishane...
Kwanza...
MARIA SARUNGI AKAMATWE, MARIA SPACES IFUNGWE!!
Maria hajawahi kuona zuri lolote la Rais Dkt Samia. Tangu aingie Ikulu 2021, mwezi wa kwanza tu hata hajajua korido za Ikulu alianza kumzodoa. ANA WIVU NA CHUKI na Rais wetu, mwanamke wa kwanza kushika wadhifa huu nchini tangu tupate uhuru 1961...
MANGE FUNDIKA HAPA, ACHA UMBUMBUMBU.
CAG RIPOTI, MWENDOKASI, TOTO AFYA KADI NA AJIRA.
Na, Suphian Juma Nkuwi
Mange Kimambi baada ya kuonesha mdhaifu na mwoga kwa kukimbia mjadala nami kwa kuni-block baada ya kukosa ushahidi wa shutuma zako dhidi ya Rais wetu na mwanae Abdul, leo naona umekuja...
TUNDU LISSU TOFAUTISHA SAMIA NA RAIS SAMIA. MUUNGANO NI ROHO YETU
Na, Suphian Juma Nkuwi.
Salaams Watanzania wenzangu,
Nimeona Kaka yangu kutoka mkoa niliyozaliwa wa Singida, Makamu Mwenyekiti CHADEMA Mheshimiwa Tundu Lissu kati ya Aprili 26 na 29, 2024 akiwa Manyara na Dodoma ametoa kauli...
SINGIDA MPYA YA KIJANI INAWEZEKANA - SUPHIAN JUMA NKUWI.
Aprili 17, 2024 nimezindua kampeni ya kupanda miti mkoa mzima wa Singida NILIPOZALIWA iitwayo "SINGIDA MPYA YA KIJANI INAWEZEKANA" ambapo kwa kushirikiana na Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) tumepanda miti 460 shule ya Msingi...
RAIS SAMIA AWEKWE KWENYE FEDHA, TUACHE WIVU NA CHUKI.
Na; Suphian Juma Nkuwi
Nilishalisema sana hili humu mtandaoni tangu Mhe. Rais Dkt Samia akiwa na miaka miwili ya Utumishi wake Ikulu. Na hata mwishoni mwa mwaka uliopita wa wa 2023 nilipohojiwa na Mtangazaji Chief Odemba katika kipindi cha...
RAIS SAMIA AMETUGHARISHA 2023
Na; Suphian Juma Nkuwi
Wakati tupo kwenye mahitimisho ya nderemo na vifijo vya kufunga mwaka 2023 na kuukaribisha Mwaka mpya 2024; bila shaka kila mmoja wetu asiyeishi kwa bahati mbaya duniani, amejitathimini alipofanikiwa na wapi amejikwaa ajisahihishe kufikia...
WATOTO; KALAMU INAWEZA KUKUTENGENEZA KUWA RAIS SAMIA, WAZAZI; MTOTO WA JIRANI NI WAKO- SUPHIAN
Wiki hii tunapoelekea mwisho wa mwaka 2023, Shule ya awali (Nursery) ya Comfort Day Care and Pre School imefanya Mahafali ya tatu ya kuwaaga watoto wa darasa la awali ambapo Mgeni Rasmi amekuwa Mdau...
SUPHIAN STAR TV LEO 3:30 USIKU NA CHIFU ODEMBA
Leo Jumamosi saa 3:30 usiku nitakuwa LIVE Star TV studio za Dar es Salaam Kipindi cha Medani za Siasa na Mtangazaji wa Kimataifa Chief Odemba ambapo nitahojiwa juu ya harakati zangu za Siasa, na namna ninavyoutafsiri Uongozi na Siasa karim za Rais...
Afisa Tarafa ya Ilongero mkoani Singida, Yahaya Njiku leo Novemba 10, 2023 amefungua Mafunzo ya Ujasiriamali Tarafa ya Ilongero yanayoendeshwa na Shirika la kiraia la Star Entrepreneur General kama sehemu ya kuunga mkono maono ya Rais Dkt Samia ya kuwawezesha Wajasirimali na wafanyabiashara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.