Recent content by super mimi

  1. super mimi

    Natoka usaha kwenye sehemu yangu ya uume sijui shida nini

    Pole mkuu usisahau kwenda na mwenzi wako mtibiwe wote hizo STDs
  2. super mimi

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Ule mwezi wa Christmas unakaribia Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
  3. super mimi

    Taifa limesimama kwa muda kupisha ndoa ya taifa baina ya Gilsant Mlaseko na Mfanyabiashara mrembo Lucy

    Nadhan taifa la tweeter Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
  4. super mimi

    Niende kozi ipi kulingana na soko la ajira?

    Wakuu nina dogo kachaguliwa BSC in microbiology Vipi soko Lake kwa sasa Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
  5. super mimi

    University of Dar es Salaam (UDSM) special Thread

    Wakuu samahan Dogo langu kachaguliwa hapo udsm round 4 Sasa pale kwenye profile hakuna option ya confirmation Nini nifanye ili wajue kwamba tayari amekubali kujiunga? Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
  6. super mimi

    Awamu ya pili ya mkopo wa HESLB ilitakiwa kutolewa leo tarehe 21 Oktoba?

    Kwahiyo baada ya hapo informations zingine kama joining informations nk tutapata kivipi mkuu? Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
  7. super mimi

    Awamu ya pili ya mkopo wa HESLB ilitakiwa kutolewa leo tarehe 21 Oktoba?

    Asante sana ndugu Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
  8. super mimi

    Awamu ya pili ya mkopo wa HESLB ilitakiwa kutolewa leo tarehe 21 Oktoba?

    Wazee samahan dogo langu kachaguliwa udsm hii round 4 Ila pale kwenye notification sijaona option ya confirmation Badala yake wamesema kama hajawa interested na offer areject. Hapa ndo inakuwaje wakuu? Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
  9. super mimi

    Msaada moderm haiconnect Internet

    Mkuu umelenga penyewe asee Line ina pini Nitajitahid kuchek line nyingine isiyo na pini Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
  10. super mimi

    Msaada moderm haiconnect Internet

    Shukran mkuu Nafanyia kazi Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
  11. super mimi

    Msaada moderm haiconnect Internet

    Nimeshindwa namna ya kuinsert moderm kwenye laptop kwa matumizi yangu ya internet Ninatumia lain ya Halotel ninaomba kuelekezwa namna ya kuset ili iweze kuunganisha internet. Naambatanisha picha za moderm yangu. Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
  12. super mimi

    Challenge: Vocha ya 10,000 kwa mwenye reply/comment itakayokosa kujibiwa

    Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
  13. super mimi

    Hivi wanaume huwa mnapata nini kwenye matiti?

    Si tunawazuiaga kupata kansa ya mazuwa Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
  14. super mimi

    Nataka kufanya kazi za Kuuza duka la dawa, naomba ushauri

    Hapo inategemea na ufaulu wako mkuu kidato cha nne Kama una D 4 ikiwemo chemistry, biology naamin unaweza kuanz na certificate ya famasia Hii ni kozi ya miaka miwili ambayo ukihitimu utakuwa tayari umekidh vigezo na kutimiza adhma yako ya kuuza duka la dawa mkuu Vyuo vipo vingi tu mkuu hasa...
Back
Top Bottom