Recent content by Super human

  1. Super human

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    wale wa kuita watu matakataka siku iz wako wap sijui
  2. Super human

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri katika Uchaguzi Mkuu Marekani 2024: Nani kuibuka kidedea?

    Uongozi wa wanawake ni changamoto sana... Hakuna faida yoyote ya kutawaliwa na wao
  3. Super human

    JamiiForums Tanzania Wasafi Festival Mbeya hali imekuwa tete. Zuchu akimbia Jukwaa

    Wamelipa alaf wanataka mke wa Did aimbe...Wanyakyusa wana dharau sana kwa kweli.. wao hawakua na shda ya kuimbiwa ila kuonyesha wao ni nani
  4. Super human

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Samsung A25, ram 6 storage 128 battery 5000

    tuonane somewhere open uniuzie nina shida na cm
  5. Super human

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Boss Insider... Fanya kweli man
  6. Super human

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mama mkwe anamhimiza mke wangu anichune; naomba ushauri

    Uliyoyafanya yote ni ya kawaida tu... Labda huo ushaur wa mama mkwe kwa mwanae ila unajipanikisha bure tu..Ulipofanya hayo yote ulikua na akili timamu.. Mke akuzalie ila ulivyompa atatumia kwa wanae pia
  7. Super human

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni sahihi kupigwa na Mwenzi hata kama umekosea?

    dah nikishajua simuwez kama atujafunga ndoa namuacha asee... Unajua sisi me kuzingua ni mda wowote sasa ukiona humuwez mkimbie tu au labda uwe mpole sana
  8. Super human

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni sahihi kupigwa na Mwenzi hata kama umekosea?

    Issue unakuta mwanaume nguvu unazo za kutosha tu... Ila wa kwangu alikua anafanya ivyo akiwa mjamzito na baada ya kujifungua tena kwa operation... usipokua makini unaeza ishia jela japo kuna kipind nilikua nampiga kichwani tu na bado haachi fujo..Ila tulishindwana akaondoka akitegemea kurud...
  9. Super human

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa hizi zitatuua jamani!

    Kwanza wa kwako ana afadhali.... mpe muda atatulia tu
  10. Super human

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Chelsea inaharibiwa na Kocha na wamiliki...bora tungebak na Tuchel hii Poch mashavu hii siielew kabsaaa.. hivi unaacha mabeki ambao kombineshen yao imecheza vizur ww unaamua kuweka Badiashile na Disas... why??? Alaf kama wachezaji ni wabovu mbona walikotoka walipeform? Alibeba tu kikombe pale...
  11. Super human

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kumwingiza Demu getto zaidi ya mara moja na ukashindwa kula tunda?

    duh umenikumbusha mbali niliwahi n'gatwa ulimi nusu ukatike
  12. Super human

    JamiiForums Tanzania Vita Maxcom na UDART yafika Mahakamani. UDART hailipi wafanyakazi Serikali inaangalia tu. Nani mmiliki wa Simon Group?

    Pia huyu kijana Max Com si wa ile kanda marufuku? inabidi tumpunguze ili aishe kbsa.
  13. Super human

    JamiiForums Tanzania Moses Machali: Je, Zitto ni mbadhirifu ktk kile kinachoitwa ubadhirifu wa trilioni 1.5?

    Duh huyu Machali nae! kuna research pasipo hypothesis?
  14. Super human

    JamiiForums Tanzania Vijana tuepuke sana kutumika na wasiolitakia mema Taifa hili

    . Wewe acha kufundisha uoga Bila haki na wajibu hio elimu ni 0.
Back
Top Bottom