Recent content by sunna

  1. sunna

    JamiiForums Tanzania Dar usiku wa leo ulikua mrefu kuliko mchana

  2. sunna

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi zaidi ya 360 wa Dangote wakamatwa kwa kufanya kazi nchini bila vibali

    Uhamiaji wote wanakula rushwa sana hapo kariakoo wa yemen wana fanya biashara na hawana vibali wanaishi kwa kulindwa na hawa hawa watumishi wasio waaminifu waziri husika tembelea kariakoo naamini utashuudia uozo huu wengine wana pas za kusafiria za tanzania na sio wazawa ni hatari sana serekali...
  3. sunna

    JamiiForums Tanzania Waziri Charles Kitwanga akunjua makucha, aanza na wahamiaji haramu

    Aanze na kariakoo
  4. sunna

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Kwanini Halotel haitafanikiwa nchini Tanzania licha ya kuwekeza fedha nyingi?

    line za halotel ntazipataje?
  5. sunna

    JamiiForums Tanzania Haipendezi mwanaume kufanya haya!

    Kuweli
  6. sunna

    JamiiForums Tanzania Haipendezi mwanaume kufanya haya!

    Kuweli kabisa
  7. sunna

    JamiiForums Tanzania CCM Mkoa wa Mtwara itaanguka kwa kishindo

    mtwara mliketewa wanajeshi mkapigwa sana je mmesahau? jipangeni 25oct ndo jibu.
  8. sunna

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio wachawi wa CCM

    je. mtaweza? Je mawazo yako ndo ya wote. ..mi mawazo yangu na pia siko chama oxhote ccm itapita utashangaaa
  9. sunna

    JamiiForums Tanzania VIWANDA, VIWANDA, wakati hakuna umeme, utatumia kuni au mkaa kuviendesha..?

    yaani kweli kabisa mtu anishabikia ccm kwake maji shida. Elimu ya watoto ziro. umeme historia halaf ana shangilia ccm dah... kweli bado sisi ni mazezeta
  10. sunna

    JamiiForums Tanzania VIWANDA, VIWANDA, wakati hakuna umeme, utatumia kuni au mkaa kuviendesha..?

    utaongea sana.. Lakini watz bado sana... utashangaa sana .. pale ma lock atakapo tangazwa kuwa rais wa nchi..
  11. sunna

    JamiiForums Tanzania UKAWA Bai Bai, ndio habari ya Mjini

    jina lako tu jibu tosha kwamba wewe ni chakula ya watu
  12. sunna

    JamiiForums Tanzania UKAWA Bai Bai, ndio habari ya Mjini

    kweli mchawi wenu alowaroga kafa yaani shida zoote bado unashabikia majizi
  13. sunna

    JamiiForums Tanzania Sam Mahela wa ITV apewa vitisho baada ya kutoa habari ya abiria waliokwama na treni

    Mkuu, ikiwezekana ingia tanesco tujue huu ni mgao au hawana pesa? hima kaka tupate ukweli.tumechoka
Back
Top Bottom