CCM Mkoa wa Mtwara itaanguka kwa kishindo

Twalb zubeir

Senior Member
Joined
Feb 23, 2015
Posts
143
Reaction score
51
Katika hali isiyo ya kawaida wananchi wa Mkoa wa mtwara wamebadilika Na kuiunga mkono ukawa kuanzia udiwani hadi Urais jambo ambalo linawafanya wagombea wa Ccm kutumia fedha nyingi Na vijana wanazichukua asbh jioni wako ukawa ambapo mbunge wa mtwara mjini amechanganyikiwa kwani hawaambiliki msemo wao
"Mtwara tuna jambo letu"
 
Safi sana wana mtwara. Na ndio mwamko wa nchi nzima
 
Katika hali isiyo ya kawaida wananchi wa Mkoa wa mtwara wamebadilika Na kuiunga mkono ukawa kuanzia udiwani hadi Urais jambo ambalo linawafanya wagombea wa Ccm kutumia fedha nyingi Na vijana wanazichukua asbh jioni wako ukawa ambapo mbunge wa mtwara mjini amechanganyikiwa kwani hawaambiliki msemo wao
"Mtwara tuna jambo letu"

Ianguke tu maana hakuna namna nyingine
 
Walituletea jeshi pamoja na vifaru, wakatupiga mijeledi na mabomu na mpaka leo wametuacha na makovu na vilema vya kudumu.
Tukasema sawa, hatuna nguvu ya kupigana na nyinyi bali nguvu yetu tutaionyesha kupitia sanduku la kura. Wana Mtwara tunaichukia sana CCM kwa ilivyo tutenda.
 
Katika hali isiyo ya kawaida wananchi wa Mkoa wa mtwara wamebadilika Na kuiunga mkono ukawa kuanzia udiwani hadi Urais jambo ambalo linawafanya wagombea wa Ccm kutumia fedha nyingi Na vijana wanazichukua asbh jioni wako ukawa ambapo mbunge wa mtwara mjini amechanganyikiwa kwani hawaambiliki msemo wao
"Mtwara tuna jambo letu"

Bakora zitatembea na sisiem mtaichagua tu, mizimu ya sisiem yako hai wakati wa kampeni na hufa baada ya kuapishwa na wamakonde mtazinduka.
 
Katika hali isiyo ya kawaida wananchi wa Mkoa wa mtwara wamebadilika Na kuiunga mkono ukawa kuanzia udiwani hadi Urais jambo ambalo linawafanya wagombea wa Ccm kutumia fedha nyingi Na vijana wanazichukua asbh jioni wako ukawa ambapo mbunge wa mtwara mjini amechanganyikiwa kwani hawaambiliki msemo wao
"Mtwara tuna jambo letu"

mtwara mliketewa wanajeshi mkapigwa sana je mmesahau? jipangeni 25oct ndo jibu.
 
Uloi nga mâché68;14203923 said:
Jidanganyeni tu. Lakini msisingizie kuibiwa kura!

Peoples power=Nguvu ya umma sasa ibeni kura mpambane na nguvu ya umma
 
Wana ntwara nawakubali.. Mkiamuga kuanzisha ntititi unakuwa ntiti kweli.
 
Hivi Ukawa walichukua mitaa mingapi mkoa wa Mtwara kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa?
 
Nawashauri ukawa hela mkipewa msiziache chukueni ila kadi za kura hakikisha hamtoi hata namba ili wakianguka waangukie uso huku wamefungwa mikono nyuma
 
Back
Top Bottom