Recent content by Sungura Toto

  1. S

    JamiiForums Tanzania Wasomi wa Physics naomba majibu

    Huyu jamaaa hajui anachouliza anaumiza watu vichwa kumuelewesha!!
  2. S

    JamiiForums Tanzania Askari mwingine auwawa Mkuranga!

    Aisee hawa jamaa wana roho ngumu kweli kama co njaa maana wanasimamisha gari ipo kasi badala ya kugea pembeni anangangania kukaa katikati ya barabara hajui gari ni bovu,limeibiwa,dereva mlevi nk wao wanakomaa tu!! Hasa hawa wa arusha mtakufa siku c zenu nyambafu kabisaaa!!!
  3. S

    JamiiForums Tanzania Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    Filisika ujue tabia ya mkeo!!
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mambo ya electronic hayoooooooooo!

    We pimbi kweli umeona transistor hapo kama hujui kitu vunga kijanja hapo ni resistor na LED tu!! Upo hapo??
  5. S

    JamiiForums Tanzania huwezi amini!!!nchi zinazoongoza kwa kuangalia mitandao ya ngono!!!

    Huo ushabiki tu wanayo chapaaa ndio maana ww wakati unawaza utazipataje wenzako wanafikiria watazitumiaje ndio maana wakainunua loliondo yenu unajua kinachofanyikaga huko??
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kuna anaefahamu kuhusu ujumbe huu

    Mkuu huo ndio ukweli makampuni ya cm yana njia nyingi za kujipatia fedha nyingi kutoka kwa watz wapumbavu ambao ni wavivu wa kufikiri!! Fikiria msg hy ya kutunga moja inatumwa kwa mtu mmoja alafu yy kwa kutokufikiri anaanza kusambaza ujinga; 40shs per sms x watu laki moja utapata jibu mmeliwa...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Hii siyo shule ya kata

    Daaaah hii imenikumbusha mbali sana Mwl mkuu wetu ss ni mareheme Senkoro akamwachia kijiti mzee Lema hapo Moshi mjini Korongoni school ilikuwa ni shidaaaaah!!
  8. S

    JamiiForums Tanzania Kujamba (kutoa ushuzi) kuna faida kiafya?

    Ukizoea kijamba jamba watu waweza dhania ww co rizki au ukajichafua na mbolea bure co inshu kabisa kujiachia hovyo hovyo!!
  9. S

    JamiiForums Tanzania Kupungukiwa na nguvu za kiume kunasababishwa na nini?

    Gonga cha Ar vp heroo!!
  10. S

    JamiiForums Tanzania Mianaume mingine bwana!!!

    Mayuku!! Alikua member kuleee gazeti la sani!!
  11. S

    JamiiForums Tanzania Gharama ya kuunganisha umeme vijijini yashuka. Sasa ni 27,000/=

    Mm nilidhani wameshusha bei kwa unit kumbe uozo mtupu nyambafu zao kabisa!!
  12. S

    JamiiForums Tanzania Deni la Taifa: Kutoka trilioni 10.5 hadi trilioni 14.4 kwa mwaka?

    Yani hapo ndipo natamani kuonja nyama ya kiongozi mmjowapo aliyepo madarakani!!
  13. S

    JamiiForums Tanzania swali:mahandaki ya kilimanjaro?

    Nenda kwa mangi marriale atakupa jibu swaaafi mkuu!!
  14. S

    JamiiForums Tanzania Hasara roho pesa itatafutwa tuu..!!

    We niaje kuna dume linasuka??
Back
Top Bottom