Wale mabikra 72 wanakazi.., by the way hata mabikra wakiume nao huko mbinguni wanakazi..!
Kuna tofauti kati ya Ahera ya Allah na Mbinguni
Wale mabikra 72 wanakazi.., by the way hata mabikra wakiume nao huko mbinguni wanakazi..!
kama bongo hakuna basi imechakachuliwa hiyo lipoti mi mwenyewe nashinda huko
yaani hata mi nashangaa,kucheki kote kule sijaipaisha tz kwenye list?....lol
Waarabu bana yaani ndani ya top 18 wako 16
Mbona hapo hizo data zako hizina title ya kila column??? Tutaaminije kama takwimu hizo ni za kweli. Pia n chanzo chake au waliofanya huo utafiti wawepo!
Waarabu bana yaani ndani ya top 18 wako 16
Hiyo ya 3 ni nchi gani?
Mbona Tz sijaiona kwenda orodha mkuu!!
Hahaha!! Kuwavisha mihijab wake zao ni kwasababu ya wivu wa kimapenzi.