Mambo ya electronic hayoooooooooo!

Mambo ya electronic hayoooooooooo!

Idea zipo kitofauti tofauti yaweza kuwa kweli alikuwa anawaza mambo yake mengine..

Yani huyu mtu hata sielewi alianza anzaje kufikila hicho kitu...bila shaka atakua mzinzi aliyekubuhu..
 
Wakati mwingine najiuliza kwanini watu wana aina fulani ya mawazo once ikitokea wakawaza kwa namna fulani!
 
Duuuh!hizo transistors zinachapana style zote za lile jukwaa letu tulipendalo, Missionary style, Doggy style..... Mkuu KIJICHO KIVULI umetisha! U hv made ma day nigga! haaa haa hah!!!!!!!!:redface:

We pimbi kweli umeona transistor hapo kama hujui kitu vunga kijanja hapo ni resistor na LED tu!! Upo hapo??
 
Back
Top Bottom