Recent content by Sungura dume

  1. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Espérance de Tunis kutoa 2.4 billion Kwa mzize

    Hana kiwango cha kupiga penalties...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Wababe watano wa soka Afrika ! Hawa hawataanzia hatua za awali michuano ya CAF Champions League

    Usiongee ukamaliza... naaona simba anaanzia robo
  3. S

    JamiiForums Tanzania Wakuu ukamalia sio kazi, Kila siku nawaambia, acheni kubeti!

    Mkuu mchezo unaotwaje na upo kamupni gani....
  4. S

    JamiiForums Tanzania Anayefahamu kijijini wanakouzwa mashamba Kati ya laki 2 Hadi 5 anijuze popote Tanzania

    Mkuu mashamba yapo mkoa wa pwani wilaya ya chalinze kata ya miono bei ni nzuri na yana rutuba saana... njia yakwenda saadan
  5. S

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Watumishi wa Umma zaidi ya 80% hawajapandishwa madaraja ndani ya mwaka wa fedha 2023/2024 unaoisha. Hii ni dhulma kubwa

    Tuwe na subraaa jamani mama samia anawawazia mambo mema.. ngoja ma DC wamaliziwe kugawiwaa magari yao mapya.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kwa mtaji wa milioni 3 naweza kuingia shambani nikalima kisasa?

    Nenda sehemu inaitwa miono ipo njia ya saadan tafuta heka mbili nunua hazizid milioni moja ambazo hazina visiki. Lima muhogo mbegu inaitwa msaada msimu mmoja tu hizo heka mbili hukosi milioni tatu na laki mbili. Toa garama za palizi zote mbili weka milioni moja mpaka unavuna. Kilimo Cha muhogo...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Nilipata maambukizi ya 'gono' wiki chache zilizopita, nimetumia dawa ila zimedunda. Naombeni mawazo yenu

    Choma sindano inaitwa panaduu utakuja kunishukuru badae.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi wa TRA akutwa amehifadhi pesa taslimu Tsh. Bilioni 7 nyumbani

    Angekuwa yupo local government huyo mfano mtendaji wa Kijiji kala million moja looo yaani mapema Kesha pandishwa mahakamani
  9. S

    JamiiForums Tanzania Video: Huyu kama ni mkeo utamfanyaje?

    Mwanamke mpumbavu huibomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Kati ya kitimoto na kuku wa kienyeji, ipi tamu zaidi?

    Isifananishwe noa, pork, kiti moto, mbuzi katoliki, mdudu na vitu vya kijinga... Tafadhali ogopa sana kitu chenye majina mengi ni hatariiii
  11. S

    JamiiForums Tanzania Zifuatazo ni ajira (kazi) za watoto wa maskini

    Afisa mtendaji kata na kijiji
  12. S

    JamiiForums Tanzania Na hii ndio tofauti ya klabu bingwa na kombe la shirikisho

    Hapa ndo tujifunze kuwa maisha hayana kanuni huwa yanabadilika muda wowote . Usimzarau mtu kwa kuwa hujui kesho Yako na wewe itakuaje.. Mungu anakuonyesha kwa vitendo ili ukumbuke kuwa anayetoa riziki ni yeye na si midomo au nguvu yetu sisi na majigambo hewa. Simba shirikisho yanga club bingwa.
  13. S

    JamiiForums Tanzania LATRA kuruhusu daladala zenye namba E na D pekee kuingia kituo cha mabasi Mwenge wanafikira nini?

    Iheshim mbege. Sio yakutajwa tajwa ovyo kwa mambo yasiyokuwa na msingi.
  14. S

    JamiiForums Tanzania Tuliomuona Guede ni Garasa tukutane tunamuomba Radhi na pia tukawawambe Makofi waliotumwa Wachovu Fred na Job

    Shemeji mm ni yanga lakini wakati Simba inamwacha baleke na phiri sijui ni uenda wazimu gani uliwaingia viongozi wa Simba yaani baleke alikuwa aongezewe tu mtu wakumlisha. Ndo hivyo Tena. Kila la heri Leo shemeji naiman mtaingia robo final mungu awatangulie
Back
Top Bottom