DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,470
Yanga mlikataa dili la Zamalek lenye kiwango kile kile kama cha dili la Qatar. Mtu wa Hersi amempigia simu Jasmine akamwambia anataka 10% ya mshahara katika mkataba atakaoingia Mzize kwenye dili la Qatar.Hilo dili likitiki, Jasmine atalia 😭 mpaka sauti ikauke. Maana alishajipakulia minyama yake ya kutosha kwenye dili lake la Al Masry! 😀
Mchezaji ukiona timu yako inampiga vita mwakilishi wako ujue una mwakilishi mzuri.