Recent content by sung69

  1. S

    Diwani wa CHADEMA Moshi Mjini ashikiliwa kwa kumteka Askofu

    Katika hali ya kutatanisha Mhe. Diwani wa Viti Maalum (CHADEMA) Moshi Mjini amekamatwa na kushikiliwa na jeshi la polisi kuanzia siku ya jumatatu tRehe 1/4/2013 saa 4 asubuhi hadi jana tareh 2/4/2013 saa 8 mchana. Diwani huyu ambaye pia ni mchungaji wa kanisa la FPCT alikamatwa akiwa...
  2. S

    Namibia: Pohamba Says No to Expropriation of Land

    Wakati wenzetu wameona madhari ya wachache kujimlikisha ardhi, serikali ya Tanzania chini ya CCM inapora ardhi kwa kuwamilikisha watu wanaojiita wawekezaji hilo baadaye litakuwa mwiba kwa Mtanzania atakeyebaki bila ardhi na kugeuka manamba. Serikali inatakiwa iwe na sera nzuri ya ardhi yenye...
  3. S

    Tundu Lissu hana fujo, kiti cha spika ndio kinapwaya!

    Kwa kifupi tu huyu mmama ni dhaifu kama jamaa yake mwenyekiti wa sisiemu alivyodhaifu ndio maana alimpendekeza/mteua kiaina awe spika.:confused:
  4. S

    Asanteni sana Wabunge wa CCM!

    Nimekuelewa sana mkuu, na naamini kwa hili lililotokea bungeni jana wana Dar es Salaam watakuwa wakosefu wa kwenda ahera kama watawachagua tena hawa vichwa maji.:A S angry::confused2:
  5. S

    Gesi Yetu Na Alichoniambia Profesa Chachage Jana Usiku...

    Wewe ndio mwenye kuona karibu kuliko mbali naa ni wewe we ku think out of box kwani wana Mtwara hawasemi gesi wanataka waitumie wao tuu, cha msingi ni suala muhimu ambalo wasukuma walifukiwa kule Bulyankulu na mpaka sasa faida wa wao kuondolewa kwenye ardhi ile haionekani kabisa zaidi ya...
  6. S

    Gesi Yetu Na Alichoniambia Profesa Chachage Jana Usiku...

    Nakubaliana na marehemu Chachage kwa asilimia mia tatizo la nchi hii ni maamuzi ya top down siku zote na sasa hivi kila wananchi wanapohoji masuala muhimu serikali husingizia wapinzania sielewi hili linatoka wapi.... anangalia link hapo chini akina Mangungu (Aloyce Masanja - Mkurungenzi Mkuu -...
  7. S

    Deogratius Kisandu wa BAVICHA ajiuzulu uanachama CHADEMA

    Propaganda ya wanasiasa mimi simo nafuata sera zenye maono ya mbali ya nchi yangu.
  8. S

    Mwigulu: Marufuku Wafanyakazi wa Serikali Kushabikia Vyama vya Upinzani!

    Weeee ni mbumbumbu wa historia Nyamaza............Kabla ya kuuliza hilo swali jiulize Mtei alikuwa gavana wa benki kuu lini?
  9. S

    TRA na ushuru wa used cars

    Wewe ni MBUMBUMBU KABISA, Kwa kifupi watanzania asilimia 99 wenye magari pamoja na wewe unaejiita mwanamume wanatakiwa kuendesha magari ya aina hii, kujikweza sio maendeleo weeeeeeeeeeeee kwa kifupi ni MWIZI sio mhangaikaji ndio maana unamcheka anayetaka kununua Vitz.
  10. S

    Kikwete: Nateua Majaji kwa Mujibu wa Mapendekezo ya Tume ya Kuajiri

    Hii ni mfano mzuri wa watanzania wengi na ufinyu wa kutofuatilia mambo mbali mbali yanayotokea katika jamii yetu, kazi yetu ni kurukia ajenda bila kufanya research, hivyo basi nakuomba ndugu yangu Mafilili ufanye research ya yale Tundu aliyosema hasa kutokana na kujibu hoja yake kwenye tume ya...
  11. S

    Waziri Mulugo: Tanzania ilitokana na muungano wa visiwa vya Pemba na Zimbabwe

    pumbafu kabisa ya nini yote hayo toka mwanzo ni utumbo mtupuuuuuuuuuuuuuuuuuu..........................jamaaa aliyemuandikia ni mtupu kabisa na huyu waziri siamini kama anapewa presentation bila kipitia wote viraza fukuza.
  12. S

    Star TV uchaguz jumuiya ya ke CCM kesho usipoangaliwa taifalitapoteza dira; maon yako

    Nimewaona wengi wao ni wanawake waliojichubua sana, sidhani kama bado watanzania tunategemea kundi hili tena kwa miaka ijayo, uswahili sasa basi so tuachane na hao ma mama mfilisi.:blabla::blabla::blabla::blabla::blabla::blabla:
  13. S

    Dr. Kingwangalah awa ‘‘pirton’’ kwa Ridhiwani Kikwete

    Jamani pamoja na kwamba mimi si kipenzi cha Kigwangala lakini kwenye sakata hili napenda kusema kama mfumo wa kisheria unazingatiwa mbunge hana wajibu kabisa wa kuingilia masuala ya uhamiaji, labda nikiri kuwa mfumo umekufa kila mtu anafanya lake ajuavyo........UDHAIFU
  14. S

    Maandalizi ya halaiki ya sherehe za kuzima mwenge yagharimu shilingi milioni 100

    Nina ndugu yangu alikuwa kwenye kamati maandalizi ya sherehe ya kuzima mwenge anasema gharama ilikuwa M200 aachia mbali gharama za mzee dhaifu na watalii wenzake kwani kama unavyojua gharama zao huwa ni siri. Piga mahesabu gharama ya dawati moja ni shilingi ngapi then jaza mwenyewe...
Back
Top Bottom