Recent content by Sung

  1. Sung

    Nifundisheni Kumpenda

    "mapenzi ni hisia" mwisho wa kunukuu.
  2. Sung

    Ndoa ya mtoto wa Kagame yasimamisha shughuli zote za kiuchumi hapa Rwanda!

    Ndoa za hivyo huwa hakuna kuachana hata ikitokea hakuna maelewano ndani ya nyumba ili kulinda heshima
  3. Sung

    UPWEKE MBAYA SANA.

    Kabisa mkuu, hata hizo sifa nimeona ziwe chache japo si za ulazima ziwepo zote.
  4. Sung

    UPWEKE MBAYA SANA.

    Tafadhali mkuu, kwa yeyote anayeona hii kama fursa wala asije. Maana sitoi fursa. Na kwa anayetegemea ndoa mapewa asije, maana watu tunawaza kujipanga kimaisha kwanza na umri usogee.
  5. Sung

    UPWEKE MBAYA SANA.

    Upweke mbaya sana, marafiki wa kike ninao, mtaani wasichana wapo ila bado sioni kama nina watu sahihi. MIMI: Kijana wa kiume. Mkristo. Mweusi, mrefu kiasi. Sina kazi ya kudumu wala biashara ila ninajitegemea mwenyewe maisha yanaenda. Mpole ila nina hasira sana. GIRL FRIEND ANAYETAKIWA: Umri...
  6. Sung

    Mchawi wa Maisha yako yupo kwenye CV yako.

    Usisingizie referees, mwenye kosa ni mwenye CV kuandika referees ambao hana mahusiano mazuri nao.
  7. Sung

    ANAHITAJIKA CLINICAL OFFICER 1- NJOMBE.

    Nimeiita kazi ya kujitolea maana hata akilipwa 300k bado haifikii kiwango cha serikali kwa CO. Hivyo ni kama kujitolea tu.
  8. Sung

    ANAHITAJIKA CLINICAL OFFICER 1- NJOMBE.

    Awé senior au entry level, awe na vyeti halali, ni kazi ya kujitolea yenye posho around laki 3 kwa mwezi. Kituo ni dispensary Mkoa wa Njombe wilaya Njombe mji wa Makambako. Jinsia yoyote, umri wowote (asiwe mstaafu). Kwa walio mbali, gharama za kufika na malazi ni juu yako mwenyewe. Utaratibu...
  9. Sung

    Tambua ya kwamba mke wako anaamini utakufa kabla yake!!!

    sasa mtu anafanya mambo ya Prof. Kapuya akitegemea nani aanze kumzika mwenzake?
  10. Sung

    Wale wenye kilo 90+ hii ndiyo hali halisi

    hivi watu wenye vitambi huwa wanajisikiaje wanapotembea au kulala, si wanajihisi mzigo sana!
  11. Sung

    MSAADA: NAMNA YA KUAPPLY KAZI ONLINE SERIKALINI.

    Je, naweza ili kuomba kazi, lazima kuwa na transcript mbali na cheti cha taaluma husika? maana nimeona kule tovuti ya utumishi wanataka mtu a-upload cheti husika pamoja na transcript. Na je mfano, nikiwa na trascript bila cheti napo naweza omba kazi?
  12. Sung

    MSAADA: NAMNA YA KUAPPLY KAZI ONLINE SERIKALINI.

    na hayo maelezo huwa wanatoa kwa njia gani? Maana wengine mtaa umetu-keep busy hata mambo ya nafasi za kazi huwa tunasikia tu kupitia kwa watu wengine, hatujui huwa zinatangazwa vipi tofauti na kupitia tovuti ya shirika husika.
  13. Sung

    MSAADA: NAMNA YA KUAPPLY KAZI ONLINE SERIKALINI.

    Heshima kwenu wakuu. Naomba kufahamishwa hili maana sijui inakuwa kuwaje. Hivi ajira zikitangazwa serikalini, njia nyepesi kuApply ni ipi? Nilipitia site ya portal.ajira.go.tz, nikaona kuna sehemu ya kujaza taarifa (CV) kisha zinaweza tumika kwa kuombea kazi, sasa je hii ndio site inayotumika...
  14. Sung

    Natafuta kazi ni binti mwaminifu

    Mkuu hapa GT hawa haangaishi kichwa.
Back
Top Bottom