Lady of Destiny1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2019
- 588
- 869
- Thread starter
- #41
OkeKama humpendi humpendi tu
OkeKama humpendi humpendi tu
Ndo huyo huyo kwa sasa hapo nyuma nilimjaribu kutafuta mtu kumbe alikuwa tapeli so kwa sasa Ni yeye pekee
Hahahahah wapo wengi Sana Ila sihitaji kila mtu kwa sababu tu Nina uhitajiHuna mvuto nini? Muda wote huo toka uachane na huyo tapeli hamna uliyemvutia bali ww ndio unasaka walioko masomoni?
Hahahhaha Asante Shem Ila iwe kwa nguvu za MunguKwa kuwa ni muhaya as me nakupa baraka zote kuanzia sasa upendo utaongezeka atakuwa mme wako kwa nguvu za mizimu ya mababu na mabibi
Hahahahah wapo wengi Sana Ila sihitaji kila mtu kwa sababu tu Nina uhitaji
Halafu siwezi kuelezea kila kitu hapa
nitumie kwanza ya sister maza na ant yako then nitatuma yangu,jinga sanaNitumie picha yako pm nijiridhishe, isije ikawa ni zile shape za matiti kama umekumbatia sungura na makalio pasi.
nitumie kwanza ya sister maza na ant yako then nitatuma yangu,jinga sana
hisia hazilazimishwi kama hakuvutii kutoka moyoni mwambie ukweli najua itamuuma ila mwambie ukweli maana utapoteza muda wako utaingia kwenye matatizo pia na yeye utamiungiza kwenye matatizo...just be honest with him and you will thank me later na pia hata kama ktu awe nice vipi hata akupe mamilion ya pesa ila kam moyo haupo hauwezi ndio kosa tunalofanya wengi sanaHabari zenu jf
Wakati nasoma chuo nilitokea kupendwa Sana na kijana mmoja darasani Ila sikumkubalia ombi la kuwa naye kwa sababu kiumri tulikuwa tunalingana Na hata hivyo sikuwa nimempenda
Mimi baada ya kumaliza chuo nilipata kazi yeye hakupata Hadi Leo ,basi aliamua kurudi shule ambako anasomeshwa na wazazi na mwezi wa kumi na moja shule inaisha.
Baada ya kumaliza shule nilipata mtu mwingine ambaye nilizaa naye Ila baadaye tulishindwana kila mtu akaendelea na maisha yake.
Kwa sababu nilikuwa Sina ugomvi na yule kijana wa chuo tulikuwaga tunasalimiana Mara moja moja na baadaye mwaka Jana nilimuambia kuwa mahusiano yangu yameenda vibaya alinitia moyo na baadaye alirudi Tena akinisihi nimkubalie na yupo tayari kuwa na Mimi no matter what
Nilimkubalia japo mahusiano yalikuwa ya kitoto Toto Sana(yupo chuo)nipo mtaani kazini ,so ilikuwa hatupo committed kabisa hatuzungumzii future Yani Ni ile umeamkaje umeshindaje hatuonani Wala kutembeleana toka mwaka Jana alipita kwangu once akalala kwa jirani kesho yake nikamtembeza town kidogo akenda zake chuo,(Ndo Mana nilikuwa nimekubali yule "una buku hapo ,Mana nilijua kabisa hapa sioni future mwanaume anaonekana bado hela ya kula anapewa na wazazi Mimi tayari Nina maisha refer uzi ulopita )
Pamoja na hayo Ni mtu anaye jali Sana (Siyo kwa maana ya kunipa vitu hapana coz Hana hela ile emotional tu),like KUPIGA simu,kuuliza mipango yangu inaendeleaje hivyo
Akikupigia utapenda "it's like hellow my precious wife how are you doing ,I miss you mpenzi,Nakupenda Sana malkia wangu Yani ana maneno matamu mnoo (alafu kwa kingereza sasa chezea mhaya wewe),aogopi kuku introduce kwa yeyote , he is innocent ,kind ,humble and very understanding
Kuna siku tukawa tunatembea njia nzima nimeshikwa mkono na mkoba nimesaidiwa(jamani sisi wanawake haya Mambo tunapenda Sana) .
Ila kwa upande mwingine Mimi Simpendi akipiga simu wakati mwingine sipokei ,akinitext Kama mud haipo sijibu Yani vyote hivyo vinaonyesha hayupo moyoni mwangu ,wakati mwingine najikaza tu
Nimeona drama za wanaume wa siku za Leo (Siyo wote ) wengine wanachuna wengine waongo, hawajitambui, hawana upendo wa kweli Ila huyu anaonyesha upendo wa agape hasa,
Baada ya kuwaza Sana Nika come up with conclusion,kwa Nini nisieke nguvu zangu na moyo kwa huyu kijana ambaye IAM sure ananipenda na hawezi kunitenda?
sasa ombi langu kwenu nataka nianze kutengeneza mapenzi na huyu kaka ,nisaidie mbinu ya kufanya nimpende na nimshikilie for future use.
#Je Hali yake ya uchumi ya sasa nifanyeje nimsaidie naye atoboe
Hahahahahaa haya Ni mawazo yako,sijawahi kuwa desperate,na haitatokea hata siku moja coz najuwa thamani yangu ndo mana nipo huru kujieleza ,ngekuwa unavyohisi singekuja hapa kuandika ningeficha Kama wengineA desperate singo maza...!!
Jua limezama sasa unaona ujirudi kwa anayeonesha nia angalau, huyo unayemuita Innocent akikutafuna mara moja tu ndo utajua kama ni innocent au mawindo tu..... usiku utapokwisha.
Hahahahahaa mjinga kabisa ,mfumo dume utawamaliza ,Kwa hasira hizi sioni kama unafaa kuolewa.
Ulifanya zinaa tena bila kinga ndio maana ukazalishwa. Sasa udhubutu wa kumkemea huyo jamaa unautoa wapi?Akili zako zinawazaa zinaa tu,utakufa kwa ngoma mjinga wewe
Watu tunatofautiana sana ndugu.Na mm huwa hanijibu text na simu hapokei it means sipo moyoni mwake....
Daah kama ningekuwa mm nishajiachia fasta hapo
Mbona rahisi sana. Sisi wanaume tukiwa na wanawake tunaowapenda halafu huwa wanatushauri kuhusu mambo ya kazi huwa tunapenda sana. Hata ukimuambia afanye kazi ya ulinzi atafanya tu. Nakushauri masuala ya uchumi usiongee naye kwenye simu. Tafuta siku ambayo mko free, muulize baada ya kumaliza chuo anampango gani?Nimsaidieje??!
Mimi mwanamke nikimtongoza akizingua, siku hiyo hiyo napiga chini. Sijawahi kufuatilia mwanamke kwa siku 2 na wala haitatokea.Watu tunatofautiana sana ndugu.
Hata mimi najiuliza,hivi inakuaje mtu anahangaika na mwanamke ambaye hamtaki?
Mimi nikiona dalili za mwanamke kunidengulia huwa nakata kamba chap kwa haraka.
Hakuna muda wa kubembelezana.
Siku hizi wanawake wengi kuliko wanaume,kwanini tusumbuane!?