Natafuta kazi ni binti mwaminifu

Natafuta kazi ni binti mwaminifu

Kwa wale wanao hitaji mtu wa kumsaidia katika shuguli zao kwa mkoa wa Mwanza nipo ni dm na uniambie unataka kusaidiwa kazi gani?
Tuelewane
Vizur ...lakini uaminifu wako naomba niupime kwanza katika mahusiano ya kimapenz ukifanikiwa kwa hili bas unafaa kupata kazi %100 mahali popote...
Mm npo dar kama hutojali nicheki.
 
Are you serius na vimaneno kama hivi!!!!! Hivi unaanzaje kutukama mtu aliyekutania kama wewe kweli ni mtafutaji. Jifunze namna ya kutafuta kama upo serious cc: Behaviourist
Kila binadamu Ni mpole ,kila binadamu Ni mcheshi,kila binadamu Ana huruma kila binadamu ni katiri kila binadamu Ana kichwa Cha mda so isiwe sababu ya kumdharau mtu na kumkejeer kwakua anashida ipo ivi Mimi naishi na mtu anavyo ishi na Mimi ukijieshimu nakueshimu pia.unafiki sipendi siwezi kucheza igizo la kujifanya mwema yesu mwenyewe hakua ivyo
 
Naandika nafuta naamdika nafuta, maana hayo majibu yapo konki hatari
 
Na nilivyokuwa mzembe kumfuata mtu PM nikaanze kuandika sijui "SUBJECT" sijui tena ndo nije kuandika "BODY" dah! katika vitu walivyobugi wataalam wa JF ni hivyo vipengele vinatia uvivi kweli

Mdau nae anataka tumfuate PM (DM) sijui ana nini huko,,,,,??? yaani wewe ndo unataka kazi harafu mimi ndo nikufute harafu wewe utakuwa mdogo wake Mungu maana hata malaika hawawezi kufanya kila kitu!!! kuna mtoa roho, mlinzi, mtunza kumbukumbu n.k

Wewe unamaanisha kazi yoyote unaweza kufanya?????
Kama hujaelewa usimweke maneno ..mwenzenu kawaambia mfuate DM sio PM!
 
Kama atakuja mtu dm akanieleza anacho taka nimsaidie nikawa si uwezo nacho nitamwambia isikupe tabu ndugu tutaelewana dm
Kama uko serious Chamuhimu Orodhesha kazi unazoweza kufanya Watu wengi wanaweza wasije PM na wengine wakisoma wataweza kukuunganisha na wahitaji hata kama wao hawana kazi
 
Kila binadamu Ni mpole ,kila binadamu Ni mcheshi,kila binadamu Ana huruma kila binadamu ni katiri kila binadamu Ana kichwa Cha mda so isiwe sababu ya kumdharau mtu na kumkejeer kwakua anashida ipo ivi Mimi naishi na mtu anavyo ishi na Mimi ukijieshimu nakueshimu pia.unafiki sipendi siwezi kucheza igizo la kujifanya mwema yesu mwenyewe hakua ivyo
Nakushukuru maana umenielimisha kuhusu andiko lako! Naona unafurahisha genge tu wala si mhitaji. Aidha akinamama ni wajuzi wa kutafuta hasa akiwa ni anatafuta. Ila sijui wewe ni Ke au Me na kama sikupatia kuwa wewe ni Ke naomba unisamehe
 
Bira shaka unasoma hotuba
 
Mkuu hapa GT hawa haangaishi kichwa.
Na nilivyokuwa mzembe kumfuata mtu PM nikaanze kuandika sijui "SUBJECT" sijui tena ndo nije kuandika "BODY" dah! katika vitu walivyobugi wataalam wa JF ni hivyo vipengele vinatia uvivi kweli

Mdau nae anataka tumfuate PM (DM) sijui ana nini huko,,,,,??? yaani wewe ndo unataka kazi harafu mimi ndo nikufute harafu wewe utakuwa mdogo wake Mungu maana hata malaika hawawezi kufanya kila kitu!!! kuna mtoa roho, mlinzi, mtunza kumbukumbu n.k

Wewe unamaanisha kazi yoyote unaweza kufanya?????
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom