Recent content by Sundi

  1. S

    Hizi ndo athari za kupanda kwa bei ya umeme

    Mkuu - kwa kuongezea , hayo ya juu, ni kuwa uchumi wa nchi utashuka zaidi maana itakuwa nafuu kuagiza bidhaa nje kuliko kuzalisha ndani hivyo hazina kidogo iliyopo itaishia ku import bidhaa hivyo Shilingi itashuka thamani tena; hatimaye bidhaa zitakwa juu
  2. S

    Ushiriki wa JWTZ katika 'Operesheni Tokomeza'

    Mag3: Your signature speaks for itself. I will say no more.
  3. S

    Nyerere alinzisha viwanda hivi Mkapa na Kikwete wakaviua

    Sasa bosi kwa mawazo yako unadhani u-socialist ndio ulikuwa hautoi kipaumbele kwa - utu?..
  4. S

    Kanisa limekataa kusalisha ibada ya mazishi ya Mushi

    Bw. Moshi ukisoma Ezekiel 18, ina sema kila mtu anahukumiwa kwa matendo yake, na kitabu cha Matayo pia kina sema hivyo . Lakini ni kweli tusichoke kuombeana daima. Na pia tuwe wepesi kusameheana saba mara sabini....
  5. S

    Kanisa limekataa kusalisha ibada ya mazishi ya Mushi

    Nakubaliana na mawazo yako - Kwa upande wa Wa-Kristo nakumbuka kwenye Biblia Bw. Yesu alipokuwa msalabani, alikuwa kati ya wahalifu wawili, mmoja wapo aka-kiri kuwa na imani naye, Bw. Yesu akamwambia leo hii utakuwa pamoja nami Paradiso!
  6. S

    Who "Played" Nyerere?

    Dada F - tuli wahi ku-debate hili in one of the previous threads. Kutaifisha mashamba pengine naweza kukubaliana kuwa it may have not been the right decision. Lakini je kubinafsisha Migodi yote ya Dhahabu na almasi in return for 3% royalty per year, Kweli unaona hiyo ni Busara? And was it JKN's...
  7. S

    Who "Played" Nyerere?

    Dada - ni kuwa sera ya ubinafsishaji ulioletwa na IMF/World Bank, kwa hata vile viwanda vilivyo anzishwa na hayati Mwl. JKN ndiyo imeleta balaa la sembe mjini . Pia mbele ya vipande thelathini vya pesa ( kwa kubinafsisha Viwanda na Migodi) watu (viongozi) ambao Mwalimu aliona ndio waumini wake...
  8. S

    Who "Played" Nyerere?

    Wadau - nadhani nchi ilipoanza kupata misaada ya IMF/World Bank ndipo political control ilipotoka mikononi mwake kuhamia magharibi. Hata yeye mwenyewe alikuwa ana sita kuchukua mikopo huko akijua maamuzi yote ya nchi yatafanyika 'Washington'. Nadhani wote ni mashahidi leo, tunashuhudia...
  9. S

    MOMBASA: Muhubiri wa kiisilamu auawa kwa kupigwa risasi

    . biblia inasema amelaaniwa amtegemeaye mwanadamu na kumfana kama kinga yake. Mkuu Ebhard, ujumbe mzuri. Unaweza kutufahamisha Kitabu na verse yalipoandikwa maandishi hapo juu. Thanks S.
  10. S

    Umemsikia Robert Mugabe!?

    Good answer - nakumbuka waingereza walimuuliza swali hilo hili Muammar Gaddafi; akawajibu hivyo hivyo, baadaye wakampoteza. Yule Mzee ni moja ya watawala wachache wenye msimamo thabiti ktk hili bara.
  11. S

    CHADEMA yageuka 'bubu' sakata la Ponda; huu ni usaliti!

    Mkuu - pengine ID ina watumiaji wengi...
  12. S

    Documentary ya Aljazeera inayofichua utumwa wa viongozi wa nchi za kiafrica

    Mkuu Nyenyere - itengenezwe mara ngapi? Pia baada ya kutafakari unapata maana halisi ya Demokrasia. Na unapata majibu kwanini Raisi wa Libya alipotea baada ya kutaka kui - replace CFA Franc..
  13. S

    Documentary ya Aljazeera inayofichua utumwa wa viongozi wa nchi za kiafrica

    Mdau Nyenyere - tunachezewa kama mwanasesere. Inasikitisha. Waafrika hatukuwahi kupata Uhuru..
  14. S

    Membe asema watz watatu wafa kwa kusafirisha dawa za kulevya

    Wise Boy - pokea like. Tuna safari ndefu..
  15. S

    Madiwani na Wenyeviti wa Halmashauri ndio Wachawi Wetu Wakubwa CCM!!

    Le Mutuz - you're beginning to see the light...
Back
Top Bottom