Recent content by Sunday stephen

  1. Sunday stephen

    JamiiForums Tanzania Umetafuta Fundi wa gari yako? Uliza chochote kuhusu gari lako

    Kwema . Nauliza ivi nina toyota Ist pale kwenye dashbord saa zile kilomita za gari namba zinakatik hazionekani zote nimebadili ile dashbord saa kuchukua ya Ist nyengine ambayo ni nzima hamna haijasaidi chochote nikaamua kuirudisha ile yakwangu je tatizo ni nn my no 0672622461
  2. Sunday stephen

    JamiiForums Tanzania Umetafuta Fundi wa gari yako? Uliza chochote kuhusu gari lako

    MSAADA JAMANI TOYOTA IST SPEED MITA INAGANDA GARI IKISHA TEMBEA UMBALI MREFU YANI UNAKUTA NIKIFIKA KWENYE VIBAO VYA SPEED 50 NIKIPUNGUZA UNAKUTA BADO INA SOMA SPEED 80 ILA GARI IKISHA POA INARUD KAWAIDA NIKITEMBEA TENA UMBALI MREFU TATIZ ILO ILO MATRAFIC WANAKULA SANA ELA YANGU Msaada wa...
  3. Sunday stephen

    JamiiForums Tanzania Mwenye tatizo kuhusu magari

    MSAADA TAFADHARI Toyota ist NIKISHA TEMBEA UMBALI MREFU SPEED MITA INAKUWA INA GANDA HAISOMI UNAWEZA KUTA NIPO KWENYE VIBAO VYA KUTEMBEA SPEED 50 NIMEPUNGUZA MWENDO YENYEWE INASOMA SPEED 80 ILA GARI IKIPOA INAKUWA FRESH UKITEMBEA UMBALI MREFU TATIZO ILO ILO NIPO MWANZA
  4. Sunday stephen

    JamiiForums Tanzania Soko la kaymu

    Kwema wakuu msaada wa kuandika complain kaymu kama umenunua kitu halafu hakija kufikia
  5. Sunday stephen

    JamiiForums Tanzania Online purchasing with kaymu

    Kwema wakuu msaada wa kuandika complain kaymu kama umenunua kitu halafu hakija kufikia
  6. Sunday stephen

    JamiiForums Tanzania Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

    Jamani wadau vp Kuhusu kaymu hapa bongo kwa kuuza vitu on line hawana usani wowote Na je ukinunua kitu kn line unaletewa kweli au magumashi tuuu mnajua tujuzane wakuuuu
  7. Sunday stephen

  8. Sunday stephen

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni jamani simu yangu

    Jaribu kuweka line tofaut na yako uone inakuwaje kwanza
  9. Sunday stephen

    JamiiForums Tanzania Nitazuiaje mtu asifatilie mawasiliano yangu ya simu

    Phlagiey Shusha uzi huo mkuu tunausubiri waku spy simu ya mtu bila kuweka kwenye simu ya muhusika
  10. Sunday stephen

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nina vipele kwenye nyeti zangu

    Magonjwa ya zinaa hayo kaka nenda kapime damu lazima utakutwa na na VDRL yaani magonjwa ya zinaa
  11. Sunday stephen

    JamiiForums Tanzania Jifunze jinsi ya ku install whatsapp Plus

    Kule kwenye kwa mara ya kwanza kwenye edit na ku addsource bigboss ipo
  12. Sunday stephen

    JamiiForums Tanzania Jifunze jinsi ya ku install whatsapp Plus

    Duuu mkuu usichoke kunisaidi mkuu sas ivi nikifungua cydia niki click pale kwenye more packeg source Ile bigboss haiji inafunguka kwenye ile image ya tatu kwahyo nakosa paku type ilo neno whatssap+ ila mwanza ilikuwa inatoke sasa tacjui nin Msaada wako tena
  13. Sunday stephen

    JamiiForums Tanzania Jifunze jinsi ya ku install whatsapp Plus

    Kaka iyo picha ya tatu haifunguki nashindwa nibonyeze wapi baada yakufika picha ya pili yatatu haionyeshi kama ivi
  14. Sunday stephen

    JamiiForums Tanzania Jifunze jinsi ya ku install whatsapp Plus

    Kaka nakutana hiki kitu baada edit source naku add msg inayokuta
  15. Sunday stephen

    JamiiForums Tanzania Jifunze jinsi ya ku install whatsapp Plus

    Poa kaka ngoja nijaribu Nitarudisha feedback
Back
Top Bottom