7ve
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 1,569
- 4,465
Maana nina iphone mkuu ambayo tayar nimesha i jailbreak
Huwezi kuipata bila kuingiza source.ingia cydia then sources click edit hapo juu kuna sehemu ya kuongeza source ingiza hii http://apt.thebigboss.org/repofiles/cydia/ then add source.Baada ya ku add utarud kwenye cydia Nenda kwenye search andika whatsapp+ then search,install kwenye simu.itaenda moja kwa moja kwenye setting. Baada ya hapo fungua setting ya simu itafute whatsapp+, open whatsapp+ shuka mpaka chini utaiona imeandikwa CLONE WHATSAPP click hapo whatsapp+ itakuwa imeingia kwenye homepage ya iphone.hiyo whatsapp+ unaweza kuifungulia kwa namba nyingine ya simu.Hapo utakuwa umeingiza whatsapp + kwenye iphone. ANGALIZO: katika uingizaji huo wa whatsapp+ usiifute whatsapp official kwenye iphone ili iwe na whatsapp aina 2. Ukikwama sehemu usisite kuniuliza. Japo siyo mwelekezaji mzuri wa maandishi.