Recent content by Sunbae

  1. Sunbae

    Nafasi ya Hostel Chuo cha CBE

    Nataka kubebwa campus
  2. Sunbae

    Nafasi ya Hostel Chuo cha CBE

    Wakuu natafuta nafasi ya kubebwa hapo CBE Dar es Salaam. Mwenye connection tuwasiliane. Ahsanteni.
  3. Sunbae

    Kwa wanafunzi walio dahiliwa SUA

    Chuo gani Chief?
  4. Sunbae

    Admission third around msaada

    Msaada Wakuu. Kuna kijana alipata hivi matokeo ya Form 6 mwaka huu. History - E Kiswahili - D English - E Division - 3 points 14 Sasa nauliza huyu anaweza kwenda kusoma degree?
  5. Sunbae

    Atakayeguswa, nahitaji kumshauri kijana wangu

    Msaada Wakuu. Kuna kijana alipata hivi matokeo ya Form 6 mwaka huu. General Studies - F History - E Kiswahili - D English - E Division - 3 points 14 Sasa nauliza huyu anaweza kwenda kusoma degree?
  6. Sunbae

    Kwa wanafunzi walio dahiliwa SUA

    Msaada Wakuu. Kuna kijana alipata hivi matokeo ya Form 6 mwaka huu. Mo graphics 2019 CHIEF WINGIA Wakusolve General Studies - F History - E Kiswahili - D English - E Division - 3 points 14 Sasa nauliza huyu anaweza kwenda kusoma degree?
  7. Sunbae

    Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

    NAUFUNGA MWAKA 2020 NA YANGA ROYAL FANS Karibu nikupe utamu ndani ya Dar es salaam, cal me Kijanamtashati D7 Dimbani. Kwa siku za hivi karibuni kumeibuka Makundi mbalimbali na magropu ya WhatsApp zikizisapot Klabu zao na kwenda mbali zaidi kujinasibu kwa Mambo mbalimbali wayafanyayo ila hapa...
  8. Sunbae

    Chama gani cha Siasa kitapata Wabunge wengi 2020 na kwanini?

    Ahsante Mkuu lakini hawa kina Lijualikali wanaoenda NCCR ndio wazalendo ama wazalendo gani unaowazungumzia.
  9. Sunbae

    Chama gani cha Siasa kitapata Wabunge wengi 2020 na kwanini?

    ACT Wazalendo nao wana jambo lao? Chadema, ACT- Wazalendo kushirikiana uchaguzi mkuu 2020?
  10. Sunbae

    Chama gani cha Siasa kitapata Wabunge wengi 2020 na kwanini?

    Unaweza kutupa sababu zako mkuu? Kwanini CCM na NCCR na sio CCM na ACT au CUF au TLP au CHADEMA.
  11. Sunbae

    Chama gani cha Siasa kitapata Wabunge wengi 2020 na kwanini?

    Mambo yanazidi kupamba moto MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AFANYA UKAGUZI KATIKA UKUMBI WA MIKUTANO WA JAKAYA KIKWETE CONVENTION CENTER JIJINI DODOMA | Blogu Rasmi ya Ofisi ya Rais
  12. Sunbae

    Chama gani cha Siasa kitapata Wabunge wengi 2020 na kwanini?

    While you are here you may be interested in reading this. Je, Chadema imepata pumzi mpya?
  13. Sunbae

    Chama gani cha Siasa kitapata Wabunge wengi 2020 na kwanini?

    Nina mjadala ningependa kupata maoni yenu yenye back up ya sababu unayohisi/kuwa na yakini chama X kitapata Wabunge wengi kwenye uchaguzi wa mwaka 2020.
Back
Top Bottom