Recent content by sun rise

  1. S

    JamiiForums Tanzania Medical council of tanganyika (MCT)

    PIGA CM 0699995800 NUMBER ZAO WAULIZE
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kwasababu hizi nimeamua kupambana mwezi huu nioe

    msomi mzuri ww umepangilia sentesi vzr na tunaelewa sasa nenda veta umalizie usomi wako
  3. S

    JamiiForums Tanzania Nitaifichaje hii aibu ili niweze kurudisha heshima yangu

    We shida yako ipo kichwan na itakua ngumu sana kuitibu, pia itakua rahisi kuitibu, kuna wenzako walishawahi vua nguo mbele za watu na waka move on ww unataka ku delete the past which is not possible, achana na past we move on bro
  4. S

    JamiiForums Tanzania Nakuchukia Baba yangu

    baada ya sadaka kwa baba ndo nikapata kazi tena kumbuka ni sadaka ilio nona tena iwe ya upendo yaan muombe mungu toba kwa kumchukia baba yako, pia ww samehe yawezekana aliefanya hayo yote sio baba yako ni mungu mwenyew aliamua ni check kwa number hii tushauliane zaid 0750808484 kumbuka baraka...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Nakuchukia Baba yangu

    Mm ni mhanga tena bora ww , story yangu ni ndefu mno lakin nakupa tu kifupi baba alikua askari lakin sisi watoto wote hajatusomesha yaaan yeye ndo alikua kikwazo cha sisi kusoma, mimi kwa uwezo wake mungu nikasoma kati yetu watoto watatu , baba aliwafanyia watu connection wakawa ma askari lakin...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kundi la Yanga

    afuzu kwenda wapi
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kundi la Yanga

    bonga slow slow waache wajipe matumaini
  8. S

    JamiiForums Tanzania Je, LBL sio Matapeli kama Matapeli wengine?

    mi nilidhani wajinga wanaisha kumbe ndo wanaongezeka kila uchao
  9. S

    JamiiForums Tanzania UKWELI MCHUNGU: Wakatoliki wenzangu Papa Francis ni mjumbe wa shetani ndani ya kanisa

    kumbe we ndo unalijua hilo leo, mi nilishahama kitambo
  10. S

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa miaka sita anagoma kwenda shule. Nini kifanyike?

    maombi, maombi , maombi
Back
Top Bottom