Recent content by Sumu kali

  1. Sumu kali

    JamiiForums Tanzania Ombi la mwenye ufahamu wa Liwale High School

    Hongera kwa kusomesha mchumba
  2. Sumu kali

    JamiiForums Tanzania Ombi la mwenye ufahamu wa Liwale High School

    Nimekutumia namba kwny email
  3. Sumu kali

    JamiiForums Tanzania Ombi la mwenye ufahamu wa Liwale High School

    Mimi ni mwalimu wa shule hiyo ya liwale
  4. Sumu kali

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI: Yatangaza waliochagulia kujiunga na Kidato cha Tano na Vyuo 2020/21

    Wakuu msaada wa namna ya kuona orodha ya wanafunzi wote waliopangiwa shule yangu ili tuanze maandalizi nafanyajee
  5. Sumu kali

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Lindi, aje mwanza au shinyanga wilaya yoyote Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Sumu kali

    JamiiForums Tanzania Wakuu nakaribisha kushare hapa picha yako kali unayoikubali uliyopiga kwa simu

    Snap it, share it Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Sumu kali

    JamiiForums Tanzania Tv yangu TCL Smart Tv inch 40 imepigwa shoti haiwaki

    Ninachotaka ifanye kazi ,hata kama haitokua smart
  8. Sumu kali

    JamiiForums Tanzania Tv yangu TCL Smart Tv inch 40 imepigwa shoti haiwaki

    Nipo mbagala rangi 3
  9. Sumu kali

    JamiiForums Tanzania Tv yangu TCL Smart Tv inch 40 imepigwa shoti haiwaki

    Wakuu habarini, TV yangu aina ya TCL Smart TV imepigwa shoti haiwaki fundi kasema card ya Tv imeungua. Sijui naweza pata card ya TV kwa bei gani na maeneo gani kwa Dar es Salaam?
  10. Sumu kali

    JamiiForums Tanzania Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

    Wakuu naomba kufaham app nzuri ya kufanya graphics kwny simu
  11. Sumu kali

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu mwanamke nimjibuje?

    When it's over leave, Don't continue watering a dead flower.
  12. Sumu kali

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Binti nimpendae anataka hela tu

    Women are like clothes, no matter how poor you are u will get according to your type/level. #Full stop #
  13. Sumu kali

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Binti nimpendae anataka hela tu

    Fact indeed mkuu, sema kumpata huyo real woman ndio kazi, wengi ni money mongers
  14. Sumu kali

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini mwanaume ukikosa kazi mwanamke anakusimanga sana?

    Fact indeed mkuu Detective J Dalili zimeshaonekana mapema so ni bora kuchukua hatua kabla mambo hayajakolea.
  15. Sumu kali

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini mwanaume ukikosa kazi mwanamke anakusimanga sana?

    Naanza kuona dalili mapema, huyu binti niliyenae siku akiniomba pesa nikimwambia leo sina ananuna, yaan kutwa nzima hamna mawasiliano hata nikimpgia anaongea kama mgonjwa. Nadhani ndio aina hiyo
Back
Top Bottom