guwe_la_manga
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 2,820
- 2,755
Mdogo wangu amepingiwa Liwale HS mkondo HGL. Mwenye joining instructions na ufahamu wa mazingira naomba anifahamishe.
Natanguliza shukrani.
Natanguliza shukrani.
upo whatsaap?Mimi ni mwalimu wa shule hiyo ya liwale
Hongera mkuuKuna demu wangu anasoma hapo, shule zikifunguliwa anamalizia form V kwenda VI
Sawa mkuu, mpeleke dogo akabukue Aiseeh..Akirudi likizo atakubebea na koroshoHongera mkuu
Ahahha,atafanya hivyoSawa mkuu, mpeleke dogo akabukue Aiseeh..Akirudi likizo atakubebea na korosho
Nimekutumia namba kwny email
PoaNimekutumia namba kwny email
Hongera kwa kusomesha mchumbaKuna mchumba wangu anasoma pale, shule zikifunguliwa anamalizia form V kwenda VI
NishareplyHongera kwa kusomesha mchumba
Unaviashiria vyote vya hela mkuuKuna mchumba wangu anasoma pale, shule zikifunguliwa anamalizia form V kwenda VI