Uzi mkongwe sana lakini bado una mafundisho mabichi kabisa. Tuchukue tahadhari. Kwa upande wangu, Mungu alinilinda sana. Mwaka 2019-2022, nilipiga zaidi ya mademu 70, kavu kavu na influence kubwa ya ulevi tena mitaa ya hatari kabisa, Kawe, Sinza, Temeke na Tabata. Lakini mpaka naokoka mwaka 2022...