Recent content by sumra

  1. S

    Polisi wa kuingilia geti la JK Nyerere International airport

    Kweli mkuu uko sawa kazi ya polisi ni kuangalia u salaam Asingelalamika mtu yoyote kama kweli polisi wale wangeangalia magari ndani na nje mpaka chini ya gari kama ilivyo ubalozi wa umarekani nchini kwetu, lakini kitendo cha kuanza kuangalia license na insurance ile sio mahala pake. Kagua...
  2. S

    Pole January Makamba

    Huyo mwandishi wa thread!!! Full kuchanganya R na L, maana hadi kichwa kinauma(ROWASA-LOWASA) Mleta Uzi ni mnafiki Fulani tu, si mlikuwa nae huyo January makamba kwa nini usumulize Huko huko, Leo unaleta maswali kwenye forum
  3. S

    Tangazo la biashara la Mtanzania limbukeni

    Uliyeleta hii thread ninamashaka na macho yako au kuna tatizo first floor Think positive,be positive life is too beautiful
  4. S

    Julius K. Nyerere, The Unsung Hero Of Africa Who Made Nelson Mandela!

    I too have the same views on so called baba wa taifa As because of him my father was in jail during crackdown in 1983, just he had one dozen of cup and saucer and some few tins of milk at his home and that milk was for my sister who was still a kid during that time No legacy just dictatorship...
  5. S

    wale wa TANGA Kunani

    Ipo Kama zamani mkuu japo nipo dar long time lakini huwa nakwenda mara kwa mara
  6. S

    wale wa TANGA Kunani

    Nenda blue room kesho ukapate breakfast utaikumbuka maishani Kama in mpenzi wa kabab na nylon bhajia
  7. S

    Mtoto wa Bakhressa noma, gari $500,000

    Huyo jamaa kwenye picha sio mtoto wa bakhresa, ni jamaa anafanya kazi kwenye kampuni ya bakhresa...
Back
Top Bottom