Recent content by Sumbi Sanchez

  1. Sumbi Sanchez

    Ndoa yeyote isiyo na maelewano haitibiki ni kuvunjwa

    Ni sahihi kabisa. Ingawa wazungu walioleta dini ya Kikristo wamedai eti talaka hairuhusiwi lakini wazungu hao hao wakaleta na sheria ya ndoa inayoruhusu talaka kupitia mifumo ya kimahakama. Tutumie talaka vizuri ndoa zinaposhindikana. Tuache upuuzi wa kusema eti Mungu amekataza takala. Toa...
  2. Sumbi Sanchez

    Wanaume, ushawahi pewa sharti la "no sex hadi ndoa" na mdada? Uli-deal nalo vipi, na matokeo yalikuaje?

    Wakati anakwambia wewe no sex hadi ndoa sio kwamba anakuwa Bikira Maria, HAPANA. Sisi tunaendelea kumkamia.
  3. Sumbi Sanchez

    mkopo wa namna hii ni kuumiza vijana .

    Uko sahihi. Pia kuna lengo la kudhibiti ongezeko la kasi la idadi ya bajaji. Zimekuwa nyingi mno. Tukiweka kodi kubwa tutadhibiti ongezeko bila kuathiri mapato.
  4. Sumbi Sanchez

    Hivi ni kweli kuvunja ahadi ya kuoa au kuolewa ni kosa kisheria ikiwa itathibitika ahadi iliwekwa mtu akiwa na umri wa miaka 18 au zaidi?

    Sio kosa la jinai. Yaani hutashtakiwa kwa lengo la kupewa adhabu. Isipokuwa yule uliyemuahidi anaweza kufungua mashtaka ya kukudai fidia. Fidia anazoweza kupata ni zile ambazo anaweza kuthibitisha kuwa alipata hasara kutokana na kuamini ahadi yako. Kwa mfano alimlipa MC GaraB kwa ajili ya...
  5. Sumbi Sanchez

    Nikupe siri 3 usizozijua ewe mwanaume unayenunua 'Dada Poa' kwa lengo la kujiridhisha kingono

    Acheni kununua dada poa. Lakini hata hivyo hata hao unaodhani hawajiuzi nao wana namna zao za kujiuza. Inadaiwa asilimia 80-90 ya wanawake mjini wanajiuza. Tofauti yao ni kwamba, wengine ni full time na baadhi ni part time (Wana kazi zao nyingine). Wengine wanaojificha kwenye kivuli cha...
  6. Sumbi Sanchez

    Ni Mwandishi gani wa habari nchini anaweza kumhoji Tundu Lissu kwa uelewa ulio sawa?

    Kikeke, Charles William wa Wasafi media na Masoud Kipanya pamoja na Juma Lokole.
  7. Sumbi Sanchez

    CHADEMA isanuke, Mbowe ni pandikizi la system, kazi yake kubwa ni kuhakikisha Dola inabaki mikononi mwa CCM daima

    Kama unaamini una hoja za msingi haya maswali yajibu. Sio unayaweka ili watu wasikuulize halafu uyaache. Jibu hizi hoja.
  8. Sumbi Sanchez

    Maskini hana aibu, kimbia ukiona hivi

    Mwanaume mwenye confidence hujibu kwa sentensi moja tu kwenye mazingira kama hayo, "SINA HELA." Hiyo ni hata kama ulitoa wallet mbele yake na aliiona imevimba. Halafu baada ya hapo uamuzi namuachia yeye kuendelea kuwa karibu yako au aende. Simple!
  9. Sumbi Sanchez

    Je, ni kweli kuwa Utumishi watapangia walimu vituo kwa kuchagua wenye GPA kubwa?

    Wengi husema GPA kubwa sio uwezo wa kazi. OK. Je, kuwa na GPA ndogo ndio ishara ya uwezo mkubwa wa kazi? Jibu ni HAPANA kubwa. Watu wakifanana vigezo vingine ni salama zaidi kumchukua mwenye GPA kubwa. GPA kubwa inamaanisha kuwa huyo mwanafunzi alikuwa na jitihada sana chuoni. Na pia...
  10. Sumbi Sanchez

    Kwa hio unataka kuniambia ni roho chafu na dhambi zangu ndio chanzo cha majanga yangu huku anaenihubiria amenunua gari kali kwa kutumia sadaka zangu!

    Huyo jamaa na wengine aina yake huwa nawakubali sana. Wanatumia vyema fursa za ujinga wa wajinga kujipatia kipato. Ni majiniaz mno. Wajinga wanaokwenda kwa hao watu hakuna kitu watapata eti kwa sababu waliombewa. Mimi siombi, siombewi, sisali, simshukuru huyo mnayemwita Mungu na wala simuamini...
  11. Sumbi Sanchez

    Kwa wanaoamini hakuna Mungu, njooni hapa

    Uwezo wa Mungu kuweka sukari kwenye nanasi amepewa na nani? Kama aliweza kuupata tu mwenyewe basi hata sukari kwenye nanasi inaweza kuwepo yenyewe tu.
  12. Sumbi Sanchez

    Kwa wanaoamini hakuna Mungu, njooni hapa

    Kama nature haiwezi kuwepo bila kuumbwa basi hata Mungu unayesema naye ameumbwa, na huyo aliyemuumba Mungu naye ameumbwa, huyo aliyemuumba huyo pia ameumbwa na kuendelea.
  13. Sumbi Sanchez

    Raraa reree umekuwa mfano wangu mkubwa sana JF

    Huwa hata hasomi. Analike tu. Hivyo, hapati maarifa yoyote.
  14. Sumbi Sanchez

    Yule bwana (mtekwaji) angekuwa anafuata ushauri wa Prof Janabi tungekuwa tushamsahau

    Yaani tukio la mtu mmoja kunusurika na mambo ya kutekwa ndio liwafanye watu wote waukumbatie uzito uliopitiliza? Huyo mmoja amenusurika, ok. Ni wangapi wanakufa na magonjwa yasiyoambukiza yakichangiwa kiasi kikubwa na uzito uliopitliza?
  15. Sumbi Sanchez

    Tetesi: Uwanja wa KMC kufungwa kamera maeneo yote muhimu

    Sisi wapangaji wapya hatutaki mambo ya kamera.
Back
Top Bottom