Naomba nikupongeze rais wangu kwa Uzalendo , lakini wasiwasi wangu ni je unatuongezea faida au unazamisha taifa, Je nikweli vita hivi vya bl. 700. Zilitosha kuwaondoa maisha wapiganaji wasaliti, je kunahaja ya kuambiwa yupi mzalendo wa taifa hili, je gharama...
Kwa mara ya kwanza jamii yako ya Iti wameanza kukubali jitihada zako katika uongozi. Wiki hii umeonyesha jitihada kubwa kulidhihirishia jamii yako (Wana Itilima ) kuwa ukiamua unaweza, umetumia utaalam wako katika political science kuliongoza jopo hilo kwenye mkutano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.