Kwa mara ya kwanza jamii yako ya Iti wameanza kukubali jitihada zako katika uongozi. Wiki hii umeonyesha jitihada kubwa kulidhihirishia jamii yako (Wana Itilima ) kuwa ukiamua unaweza, umetumia utaalam wako katika political science kuliongoza jopo hilo kwenye mkutano mkuu na kuhakikisha hakuna hata swali moja linalo ulizwa na wanajumuiya. Mmmmmhh ! Sijui vijana walielewa sana baraza ama waliogopa "Ask your question properly or its eaten on your side ".Ahahahahaha