Recent content by Sulu_Iam

  1. Sulu_Iam

    JamiiForums Tanzania ACT-Tanzania , Taarifa Mkononi mwako

    Shukrani kwa taarifa!
  2. Sulu_Iam

    JamiiForums Tanzania Mpiganaji yupi unamkubali WWE?

    Roman reigns from THE SHIELD
  3. Sulu_Iam

    JamiiForums Tanzania All African presidents in meeting with Obama; Kagame out

    si afadhali hiyo hongera umpe Mugabe,Lkn huyo Kagame mshenzi kabisa hana cha uzalendo wala nini!
  4. Sulu_Iam

    JamiiForums Tanzania Nyama ya ng'ombe alizogawa nape,zazua timbwili saut

    Umenena uzuri mkuu.
  5. Sulu_Iam

    JamiiForums Tanzania Adam Malima ni 'mbumbumbu?'

    relax man,mbona una-panic namna hiyo kusikia mzee wa gongo katajwa.
  6. Sulu_Iam

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye binti anayedai kubakwa na mume wa Flora Mbasha

    Ndo huyu kweli mwenye miaka 17? Isiwe ni yule mdogo wake Frola aliecheza video ya ngono na Ngasa.chunguza mkuu,huenda umechanganya
  7. Sulu_Iam

    JamiiForums Tanzania Hongera Mheshimiwa James Mbatia kwa kuwafundisha CHADEMA jinsi ya Kuandika Maoni ya Upinzani

    Nami pia sina budi kumpongeza J.Mbatia ile ndo maana halisi ya budget mbadala kukosoa mapungufu,kushauri na kutoa mapendekezo na si zile tulizozoea zilizojaa personal attacks.
  8. Sulu_Iam

    JamiiForums Tanzania CCM 2015 wajiandae kukabidhi nchi kwa UKAWA

    Illusion!
  9. Sulu_Iam

    JamiiForums Tanzania Majibu ya Dr. Slaa kwa mwanachama kuhusu kukwepa mazishi ya Mama Zitto

    mkuu Lizaboni uko deep sana.
  10. Sulu_Iam

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu Viongozi wa CHADEMA kukwepa mazishi ya Mama Zitto

    Sioni mantiki ya kuendelea kuzungumzia na kulikuza jambo hili japo kama taarifa hii inaukweli haikuwa busara kwa viongozi wa juu wa chama kutohudhuria mazishi ukizingatia marehemu alikuwa mjumbe wa kamati kuu ya CDM.
  11. Sulu_Iam

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri bungeni Dodoma: Jumatatu tarehe 2 June, 2014

    Wakati akichangia wizara ya maji,katika utangulizi wake alianza kuwapa pole wabunge wafiwa lakini alienda mbali zaidi kwa kuwashutumu viongozi wa CDM Kutokwenda kumfariji marehemu Bi.Shida Salum wakati bado yupo hospitali. Hali iliyopelekea wabunge kuomba muongozo kutoka kwa mwenyekiti wa bunge...
  12. Sulu_Iam

    JamiiForums Tanzania Picha: Yaliyojiri Kigoma katika mazishi ya Shida Salum (Mama yake Zitto)

    Eti wamemtuma Wenje awawakilishe ambae pia walimtuma kuwawakilisha hospitali wkt Bi.Shida Salum bado anaumwa.
  13. Sulu_Iam

    JamiiForums Tanzania Tanzania National Football Team (Taifa Stars) | Special Thread

    Wakuu endeleeni kutu-updates yanayojili ktk mechi hiyo, pia niwapongeze Azam fc kwa kutoa basi lao kupeleka mashabiki kuangalia mechi hiyo. Huu ni uzalendo wa hali ya juu sana wadau wa soka hatuna budi kuwapongeza kwa kitendo hicho.
  14. Sulu_Iam

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mama Mzazi wa mbunge Zitto Kabwe, Shida Salum afariki Dunia

    Inna lillah waina ilaih rajioon.pumzika kwa amani mama yetu.
Back
Top Bottom