Recent content by sultanrama16

  1. sultanrama16

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Naomba kueleweshwa jamani mbona romano anasema tofauti.
  2. sultanrama16

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Reat in peace diogo,nitakukumbuka kwa magoli yako ya vichwa.
  3. sultanrama16

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    SISI NI LOSER😰😰
  4. sultanrama16

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Leo tumechangamka,hakuna kutegea kila mtu katimiza majukumu yake kwa asilimia nyingi ila trent kwake mashaka hayakosekana,all in all tumecheza vizuri.
  5. sultanrama16

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Hii ngoma ngumu,aston villa wamechangamka sana na wapo sharp,ila sisi sasa kukaa na mpira kipengele.
  6. sultanrama16

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Mkuu maswala ya link ndo siyawezi we cheki hiyo www.fawanews.com andika kama ilivyo.
  7. sultanrama16

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Gomez tayari huko anachechemea dah😰😰
  8. sultanrama16

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Mkuu umetisha sana hii line nilikuwa nayo,pamoja na M2M ila nilideal sana na M2M,hii nilikuwa sijui jinsi ya kuunganisha hizo huduma,now rasmi ataruka nayo wife inipunguzie makali kidogo
  9. sultanrama16

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Asante mkuu kwa masimango ila menu nimeshaipata.
  10. sultanrama16

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Menu ya hiyo line ya community plz?
  11. sultanrama16

    Video: Huyu kama ni mkeo utamfanyaje?

    Kwa hiyo atakaa kwenye mkeka maana sofa halifai,aache ubaguzi bwana.
  12. sultanrama16

    Video: Huyu kama ni mkeo utamfanyaje?

    Kama walikuwa hapo ndani,iliwashwa tv wakati huo kuna vinywaji vilitumika japo maji,unafiri radio haikutumika?vyote vimetumika hapo kwa namna moja au nyingine.
  13. sultanrama16

    Video: Huyu kama ni mkeo utamfanyaje?

    Mbona tv kairuka,kuna fridge hapo na radio angepita navyo vyote ,naona anachagua vya kufanyia uharibif,very smart woman🥳
Back
Top Bottom