Mama kama mama akikaa na mkwe zaidi a mwezi ni kosa lazima atatoa kasoro usizo ziona wewe kwa hiyo maamuzi yapo kwako na wewe kuona hizo kasoro au kuzifumbia macho mambo yakawa mbele kwa mbele
Ndugu yangu mwenye mahusiano ilo swala kupima akili kujuana tabia ni swala moja gumu sana na wewe kama Umeoa/Umeolewa nafikiri hilo swala hukulipa mkazo watu wanabadilika sana unavyo kuwa unamfikilia sivyo alivyo bari yupo yeye kama alivyo
Mimi ambacho najiuliza mpaka sasa walimu kumchapa mtoto kisa hana hela ya kutoa kwa kitu kinachotakiwa shuleni huwa inamaanisha nini hapo ninapo shindwa kuelewa
Hilo la kutorudishiwa hiyo pesa nafikiri ulitakiwa ulitambuwe mapema kabisa lakini sababu hauna jicho la tatu hakutambuwa hilo na mumeo kutokuktafuta kisha Ona wewe ni bagas Huna manua kwake zaidi kumsababishia umasikini sasa pambana na hari iliyo chaguwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.