Mkoloni kaburu mama iddy Amin Dada kukumbatia utekaji mauaji hapo kuna Amani?Amani ni muhimu sana lakini bila haki hakuna Amani Amani inabebwa na haki
Wengi hukariri maelekezo ya ibirisi wa ccm hususani kule Bakwataccm kwenye wanafiki wengiAna elimu ya MADRASA yaani ILIMU, ataongea nini cha maana!
Yemen inapigana na Saudia kule Sudan Dafur wanauana wenyewe kwa wenyewe hata Somalia Syria kote ni wenyewe kwa wenyeweKwani kitendo cha wacristo kuruhusu ndoa za jinsia Moja kupitia makanisa yote Duniani sio vurugu? Au ujui kuwa mfumo Cristo ndio chanzo cha machafuko duniani
Ubwabwa mwingi kwa Chaumma leoSheikh leo ni sikukuu ya Eid! Chukua sahani ya ubwabwa kwa mama ntilie yeyote yule aliye jirani na wewe, halafu nitakuja kulipa.
IMAMU wa Msikiti wa Masjid Noor uliopo chini ya BAKWATA Bariadi, Mkoani Simiyu, Sheikh Yakubu Saburia, ameeleza kuwa amani ya nchi haipaswi kuhubiriwa kwa misingi ya itikadi za kisiasa au vyama, bali kama tunu ya kitaifa inayopaswa kulindwa na kila mmoja.
Akizungumza wakati wa swala ya Eidi-al-Adh-ha, Sheikh Saburia amesema Tanzania ina amani, lakini baadhi ya matamshi na mienendo ya kisiasa vinaashiria kutokuwa na dhamira ya kuitunza.
"Sisi tunayo amani, lakini tunaona kwamba haitoshi. Tunaona tunaanza kuichezea hii amani tuliyonayo, kama vile tunataka tufike mahali pa kukimbizana kama ambavyo wanakimbizana mataifa mengine," amesema Sheikh Saburia.
Huyu naye Shekh chawa tu, kwani hajui hayo machafuko ya nchi alizozitaja yalitokana na nini?IMAMU wa Msikiti wa Masjid Noor uliopo chini ya BAKWATA Bariadi, Mkoani Simiyu, Sheikh Yakubu Saburia, ameeleza kuwa amani ya nchi haipaswi kuhubiriwa kwa misingi ya itikadi za kisiasa au vyama, bali kama tunu ya kitaifa inayopaswa kulindwa na kila mmoja.
Akizungumza wakati wa swala ya Eidi-al-Adh-ha, Sheikh Saburia amesema Tanzania ina amani, lakini baadhi ya matamshi na mienendo ya kisiasa vinaashiria kutokuwa na dhamira ya kuitunza.
"Sisi tunayo amani, lakini tunaona kwamba haitoshi. Tunaona tunaanza kuichezea hii amani tuliyonayo, kama vile tunataka tufike mahali pa kukimbizana kama ambavyo wanakimbizana mataifa mengine," amesema Sheikh Saburia.
Kwani kitendo cha wacristo kuruhusu ndoa za jinsia Moja kupitia makanisa yote Duniani sio vurugu? Au ujui kuwa mfumo Cristo ndio chanzo cha machafuko duniani
Hapo Nyege ilikuwaje; hebu tupe habari mtumishi kaeleza nini?Kweli kabisa
Mtumishi ndio lugha ya wapi?Hapo Nyege ilikuwaje; hebu tupe habari mtumishi kaeleza nini?
Jibu swali.Mtumishi ndio lugha ya wapi?