Zenji ni nchi na ina katiba yake, ima bendera yake, ina rais wake, inabunge lake, japo tumeikoloni na walaambo yao hayakuhusu....Katika Mkutano wa Berlin nchi zote zilizopewa makolon zilipewa sharti la kuuwa uislam na kujenga makanisa na kusambaza elim ya kishetani, elimu ya kuwafundisha watu...