Kuanzia tarehe mosi Septemba mwaka huu NHIF walisimamisha usajili mpya wa bima ya afya kwa watu binafsi, na vilevile kusimamisha kulipia, kwa wale ambao bima zao zimekwisha muda, hadi hapo watakapotoa utaratibu mpya.
Suali kwa NHIF: Watu ambao wameshindwa kulipia kwa sababu ya "zuio" la NHIF...
Kama Che-N'kapa alisema kuwa Vincent siyo mwanafamilia ya Julius Nyerere alimaanisha familia ipi? Nucleus family ya Kambarage (yaani Mama Maria na watoto wake) au extended family ya Kambarage, ambayo inahusisha watoto wa siblings wake, kama Josephat na Joseph na wale wa wake wengine wa Chifu...
Kati ya Julius Kambarage Nyerere, Joseph Kizurira Nyerere na Josephat Kiboko Nyerere, nani baba yake Vincent Nyerere. Au wote kwa mpigo:thinking:[/FONT][/COLOR]
Kwa hiyo ndio maana madaktari wamegoma... kutokana na maoni ya wasomaji wa The Guardian UK, ambao, by the way, wanaweza kuwa ni watanzania waliopo bongo! Unachohitaji ku-register kwenye tovuti na kuandika unachopenda, regardless of where you are!
Madai ya msingi ya madaktari ni halali kabisaa.
Ukosefu wa vitendea kazi
Mazingira magumu ya kazi (na ya kujifunza - kwa Ma-Interns)
Mishahara/posho ndogo
Tatizo la madaktari waliopo mafunzoni kutolipwa posho zao lilikuwa uzembe wa watendaji wakuu wa wizara ya afya, ambao tayari...
Baada ya hawa wawili kuondolewa (kama wataondolewa) jamaa watadai Pinda na Kikwete pia waondoke! Kama madai ya msingi ni mishahara/posho, vitendea kazi pamoja na mazingira mazuri ya kufanyia kazi, suala la viongozi wa kisiasa kuondolewa linakujaje, ikitiliwa maanani kuwa watendaji, Katibu Mkuu...
Mkuu William,
Poleni na mambo haya. Kama ni kweli kuwa Peter anasingiziwa basi tumwombee ili aepushwe na matatizo ya kupakaziwa. Labda ungemuuliza kwa nini amefunga akaunti yake ya www.hi5.com [hii hapa] kama alivyojieleza kwenye website [hii hapa]. Je, Peter ni raia wa Tanzania au Uingereza au...
MwanaHALISI angesaidia sana wasomaji wake kama angetoa "Job Description" ya Medical Attache kwa sababu watu waliotajwa katika habari hii ni madaktari, japo kwa viwango tofauti.
Huyu Dr. Chale ninahisi atakuwa ni Dr. Stella Chale ambaye ni daktari bingwa pale Muhimbili upande wa Internal...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.