Jamani hawa NHIF wameanza lini kuita oral? mi kwa experience yangu ya zaidi ya miaka mitatu ya interview zao za written huwa hazina oral ni direct unaitwa kufanya kazi baada ya written,kinachosubiriwa kwa sasa ni simu za kuitwa kazini tuu na hakuna hiyo budget ya oral.
Mbona mnapata tabu sana na hawa wababaishaj wachache waloozoea kula vya bure na wazandiki wakubwa ,hawa wote ni kambi ya yule rais aliyepita aliyekuwa mbabe aliyeigawanya Zanzibar kwa itikadi ya upemba na uunguja na akaifilisi nchi na hatimae mungu kamlipa hapa hapa duniani,hawa tangu mwanzo...
wewe kama umepata kazi nenda kafanye acha kujishauri infact salary scale hiyo hi sawa na 1670,000/= confirmed in one of their current contract given to one of the new employee but engineer so cjui kwa category nyengine
of cause hawa jamaa watatema mda si mrefu ila hawa jamaa huwa wanaita karibu kila mtu aliyetuma application mnafanya writen interview then ndo imetoka hakuna oral wanachauguana wanavyopenda mi siamini kama haki ya kweli inafanyika haiwezekani maelfu ya watu tufanye paper lazma watu wengi...
kaka usikate tamaa mungu atafungua njia fuata ushauri wa hapo juu usisubiri tangazo la kazi tembelea katika hivyo vyuo onana na wahusika nna imani watakuconsider,mi pia nna ndugu yangu alikuwa kama wewe alienda physically kwenye vyuo akaonana na wakuu na wakampangia dates za interview na hatimae...
safi sana mama kabaka wametutesa saana halafu recruitment agencies nyengine zinaendekeza udini na ukabila hazipo professional kwa mfano utakuta zinafavour watu wa dinin flani au kabilaflani hii haifai watanzania wote ni wamoja, kosa umekalia kiti wewe wa dini flani au kabila flani ,piga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.