BOT waanza kuita interview

BOT waanza kuita interview

Jamani tusaidiane kwenye hili la BoT, Kwani wanapiga simu tuu au wanatumia na njia nyingine kama barua za posta, email n.k. Kwa mliopigiwa simu tafadhali?!
 
jamani hawa jamaa wamestop kuita au vipi?,kuna yeyote aliyepigiwa nafasi ya risk analysy II???? tujuzeni kama tumechinjiwa baharini au laa
 
hawa waliopigiwa simu hawajiamini Ndiyo maana wanashindwa kujibu maswali
 
Hapa kuna dalili za uongo mbna watu hawafunguki kama tulivotarajia, hata hawasemi hyo interview ni lini.
 
Ni kweli wanaita watu,ndg yangu kaitwa bank examiner,kapigiwa simu na katumiwa e-mail,usaili wa awali wenyewe wanaita aplitude test,utafanyika Chuo cha utalii karibu na IFM,juamatano kwa hiyo post ya ndg yangu.
 
Sahii wameita nafasi mbili kwaza, bank examiner na accountant then wataendelea nyingine.
Ila wakuu wamechukua very cream, first na upper second ila hata hii gpa considered. Wale wenzangu nammimi wakuu, mmhh... ila tuwe na positive atitude na tuendlee kusubiri
 
Sahii wameita nafasi mbili kwaza, bank examiner na accountant then wataendelea nyingine.
Ila wakuu wamechukua very cream, first na upper second ila hata hii gpa considered. Wale wenzangu nammimi wakuu, mmhh... ila tuwe na positive atitude na tuendlee kusubiri

mbona mi nina upper second ila cjaitwa...niliomba bank examiner..
 
Ngoja tusubili kiongozi labda muda bado yawezekana ukawadia upatapo mabadiliko yeyote usisite kunijurisha kiongozi.

Tupo pamoja kwenye huu mchamcha.

Mtasubiri sana wakuu, hizo nafasi wanarithishana
 
Jaman mbona interview tumepiga leo pale cho cha taifa cha utalii (bustan compus)
Ilikuwa nomaaaaaaaa

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Daaaah paper ilikuwa balaa...
Watu tumeenda calculator halafu unakutana na essay hahahahahahahaha
 
Back
Top Bottom