Kigogo
JF-Expert Member
- Dec 14, 2007
- 20,508
- 6,199
Yaani mpaka tunapata presha!!!
Meza dawa za presha sahau hizo kazi...watu wamehaanza training ya kazi tar 1 april
Yaani mpaka tunapata presha!!!
kwa kigezo kuwa alojibu swali la kwanza na la mwisho vizuri aje kuhudhuria interview tar......!!!!
Jamani hawa NHIF wameanza lini kuita oral? mi kwa experience yangu ya zaidi ya miaka mitatu ya interview zao za written huwa hazina oral ni direct unaitwa kufanya kazi baada ya written,kinachosubiriwa kwa sasa ni simu za kuitwa kazini tuu na hakuna hiyo budget ya oral.
Hahaaaaaaa ...ndo nyie mliofanya written interview watu elfu nane wakati nafasi ziko 6! Hahahaaaaa...eeeh vimemoooo tenda miujizaaa...kama kimemo huna sahau..na kama kimemo chepesi basi kimepeperushwa na upepo.. watu wako kwenye training ya kazi mdogo wangu jaribu next time