Recent content by sugar ray

  1. S

    JamiiForums Tanzania MISHAHARA YA WALIMU ITAKUWA SH NGAPI, anaejua plz

    Walimu wanalipwa pesa nyingi sikuhizi ila ukiwa na degree, grade A ni laki mbili mshahara wa kuanzia kaka.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Cheka kapigwa

    Cheka hakupigwa ila amefanyiwa hujuma na watu wa "corner" yake, cheka alikuwa anaongoza kwenye score cards zote tatu (57-56, 57-56 na 58-56) mtu wa corner yake alirusha taulo kuashiria kusimamisha pambano wakati cheka akiwa amemdhibiti mjerumani.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Muhammad Ali 'could die within days', says his brother Rahman

    That guy is the boxing icon, he is the most popular boxer ever, no any heavy weight in history did it better than him....May God be with this champion at this moment.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Obama ni Milioni 624 za Kitanzania

    sio kweli raisi wa marekani hawez kulipwa pesa kidogo hivi
  5. S

    JamiiForums Tanzania Mh. Ezekiel Maige aweka sokoni Hekalu lake

    maige anauza mali yake, uwezi kumpangia maisha.
Back
Top Bottom