TUSEMEZANE: Je ni kitu gani ndani ya maisha yako umekipa Kipaumbele zaidi ya afya yako?

Kwa kawaida hospitali binafsi wanapokea wagonjwa kwa lugha nzuri lakini nia yao kubwa ni kuuza dawa zao. Na sisi uelewa wetu mdogo ukipewa rundo la dawa unawamwagia sifa lukuki
 
Mazoezi ili kuuweka mwili mbali na mashambulizi au kuufanya mwili kuwa na nguvu,, maana matumizi ya dawa kwa wingi pia huufanya mwili kuwa na sumu mwilini
 
Pesa ndo kila k2 ktk maisha ye2 tafuta pesa kwanza ht kama ukiumwa utatibiwa kirahc! Ni maoni lakin
 
Clinic nyingi sasa hivi mpo after money sana,
Naweza kuja hapo kwako kwa check up tu ukanichaji LAKI,
Na tiba yenyewe inakua ya kisani sanii sana.
Karibu kwangu nikupe dozi ya Alovera ni kiboko.

Aloe vera kweli ni nzuri ina kazi zake, panapotakiwa upate nutritional suppliment za fruits,vegies,minerals na whole grain huwezi kuzipata kwenye aloe vera.

Hivyo unatakiwa ujue mahitaji ya kiafya then utajua nini kinapatikana wapi na nini kinasaidia nini.
 
pamoja na yote ni vema kunywa maji safi na salama kwa wingi,kula mlo kamil na kufanya mazoezi ili kuepuka magonjwa na athali zake.dawa ni dawa tu iwe ya hosp au mitishamba ni dawa
 
ujue nini,afya ndo kila kitu kwa sababu kutfta elimu,kipato,familia na mengineyo kama kusaidia wasio jiweza,kunategemea sana afya ya mtu husika,tuendelee kuithamini wajumbe.
 
mi nimeanza matibabu nasubiri kupona ili nikawashuhudie wenzangu, maana matatizo yanayonisumbua ni zaidi ya miaka kumi. nashukuru care yao ngoja nijitahidi nione maana nimeisha zunguka tiba mbadala nyingi sana bila majibu. sio kwamba naumwa ngoma ila ni madhara yaliyotokana na ku pooza sehemu ya miguu
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom