Recent content by sufra

  1. sufra

    JamiiForums Tanzania Kaka wa Mange Kimambi aenda tena ofisini kwa RC Makonda

    Ww ndg zako wanakuoenda wote? Dada yako akimpenda bwana na ww ni laxima umpende? Acha kutumia akili vibaya kama manager wa hiyo nembo ulioweka
  2. sufra

    JamiiForums Tanzania USISAHAU: TZS 1.5trilioni hazina maelezo. TRA wamedanganya trilioni 2.2 makusanyo mwaka 2016/17

    Hii nchi iko nyuma kutokana majitu kama ww , ujinga kiwango cha lami
  3. sufra

    JamiiForums Tanzania Buffon: “Referee can’t have the cynicism to destroy the effort of a whole team

    Mchezaji akishakuwa mbele yako hasa kwenye position ya kufunga ukimgusa ni penati, ww kwa mawazo hakuwa faulo ile na kama jibu ni ndio ulitaka refa atoe nje ya kumi na nane?
  4. sufra

    JamiiForums Tanzania Bayern, Liverpool, Madrid na Roma kukipiga nusu fainali ya UEFA, nani ana nafasi kubwa kuchukua Ubingwa?

    Ushabiki unakufanua ujitoe akili, ulitaka refareee apate au?
  5. sufra

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Raila set to become AU Special Envoy in handshake deal

    KWELI JINGA LAO
  6. sufra

    JamiiForums Tanzania Tabia hizi za Rais Magufuli zinaishushia hadhi taasisi ya Urais

    Ww ndio hata nimeshidwa hats kukuita jina gani LA mnyama ,hoja IPO kwenye kichwa cha habari Vila hats kuingia ndani zaidi lakini huoni,kweli elimu ni muhimu sana
  7. sufra

    JamiiForums Tanzania Tabia hizi za Rais Magufuli zinaishushia hadhi taasisi ya Urais

    Tembelea hoja sio mipasho ,wala upenzi
  8. sufra

    JamiiForums Tanzania Wafahamu malaika na kazi zao

    Kama mabawa mawili yanafunika dunia akifungua yote si mpaka oxygen inaisha kabisa, duuuuu lete picha kwanza
  9. sufra

    JamiiForums Tanzania Haji Manara atokwa na povu baada ya kulipuliwa na Abdi Banda

    Unadhani mifumo inafanana ya uendeshaji Wa club,?
  10. sufra

    JamiiForums Tanzania Haji Manara atokwa na povu baada ya kulipuliwa na Abdi Banda

    Hoja ya banda kuwa anaongea ni Nazi take Kama msemaji Wa club hujainisha anashusha mpiira kivipi,na mfano uliotoa Wa samweli etoo unadhani matatizo yake yanafanana na banda,kutoa maoni ni haki ya banda na pia kujibu maoni ni haki manara
  11. sufra

    JamiiForums Tanzania Haji Manara atokwa na povu baada ya kulipuliwa na Abdi Banda

    Unajua kazi ya msemaji Wa club?
  12. sufra

    JamiiForums Tanzania ‪KISUTU, DAR: Mahakama yawapa dhamana Viongozi 6 wa CHADEMA bila kuwepo mahakamani. Kutoka gerezani Aprili 3, 2018...

    Hayo maneno yageuze kwa upande Wa pili uone yanavyoleta maana
  13. sufra

    JamiiForums Tanzania Wananchi wenye hasira wachoma pikipiki mbele ya askari

    Hiyo si ndio jukumu Lao si wanajitolea bila malipo?
  14. sufra

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Asante kaka hats mm nilikufata ,mambo ni [emoji291]
Back
Top Bottom