Wale wenye elimu zaidi watasaidia
1.Jibril ni malaika mwenye nguvu ana mabawa 600,Alihusika kuuangamiza mji aliokuwa na laana alioishi nabii luut,mbwawa zake akikunjua zinafika kusini na kaskazini mwa dunia
2.Mikail huyu ni malaika mwenye hadhi ya juu sana anahusika zaidi na ulinzi wa anga mambo yote ya hali ya hewa anahusika NATO
3.Israfil huyu ndio malaika atakaye piga paragumu siku ya kiyama..
4.Maalik ni mkubwa wa walinzi wa malaika walio motoni... Jehanam
5.Ridhwaan huyu ni mkubwa wa walinzi wa peponi
6.Munkaar na Nakir hawa wanahusika na kuuliza maswali kaburini...mwenyezi Mungu hatuepushe na adhabu ya kabur
7.Izrail huyu ni malaika mtoa roho
8.Raqiid na Atiid hawa wanahusika kuandika mema na mabaya ya binadamu kila ulipo wapo...
NB..nitaendelea ....