Sasa hivi kulingana na bajet profile zmepanda bei rangi ya grey na rangi nyeupe kidogo ndio ipo chini na ndio watu weng san wanatumia kuwekea majumban, rangi nyeusi na rangi ya mbao ndio zipo juu ila mbao ndio ipo juu zaid kama bajet yako ndogo weka sm8 na chague rang hizo mbili ila zingne zpo...
Hapo kuna mawili anaweza kua jini mahaba au jini afiriti hasa afiriti ndio anatumia sura za watu unao wajua na usio wajua na huyu jini huwa anatengenezwa na mtu kw kaz maalum, hasa nyie wanawake huwa mnakubw san na huyu mdudu wa kutumw kw lengo la kuaribu maisha yako. Hapo nakushaur san kemea...
Hapo kipengele kak swala la kuoa sio shida shida ni yeye huyo mwenzie ataweza kujizuia kw mzaz mwenzie kutokuwasiliana maana mim mwenyew nipo kweny ndoa mwak wa5 sas na tuna watot wawli nae ana mmoja wa wa nje ya ndoa mwanzo walikua hawaailian ila sas wanawasiliana. Ila kwngu sijal maan nishakua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.