Ningeshauri askari wawaache waandame mpaka wachoke wasiwaguse ngo wawalinde tuone mwisho wao ,nonsense miaka kumi na ushee bado mnaona mna haki tuu who are uuu
Wanajisahau sana hawa ikifika uchaguzi wanatuona wajinga kwanza katiba iwekwe 5 years tu 10yrs for useless people wanaturudisha nyuma sana km arusha tumerudiii reverse ya hatariiii
Kwa kuongezea tu watu wamewaelewa hao wapinzani hawana tija ni maneno tu na kujijazia ruzuku matumboni (kujitajirisha)hawatusaidii lolote sisi sio wajinga wajinga ni nyie mnaotetea madhalimu, tuonyesheni mpinzani aliyehamasisha jimbo lk kubadilisha maisha ya wakazi au upinzani ni mdomo tu?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.