Ni sister Kessy. Mke wa Profesor Egbert Kessy ambaye ni Provost Kilimanjaro Christian Medical University College (KCMC). Hapo je umeelewa kidogo au bado?????
Duu jamani poleni wafiwa. Sister Kessy alikuwa ndio incharge wa Mwaisela ward 4 alikuwa mkarimu sana sister yule. Namkumbuka alikuwa anakaa magorofani muhimbili kabla ya kuhamia mabibo baada ya kustaafu. Siwapati picha wanawe watakavyoumia kina Doreen, Lily, Dennis,Evance na Glory. Tumecheza...
Ndugu yangu Kyalosangi usiwe na jazba kama ulivyosema tuchangie bila jazba, wewe mpaka kufikia umri huo umeshatoa laki moja moja ngapi tena kwa mambo ya kawaida tu??. Hiyo laki moja mhasibu wa usharika husika atampatia risiti na mwanzoni mwa mwaka ujao wakaguzi wa nje toka makao makuu ya...
Kwanza ni aibu saaana kwa wewe Mzee wa Kanisa kutokujua mambo kama haya. Kifupi umeshafeli katika hilo na ninavyowajua walutheri hauna hata miezi mitano tangu uchaguliwe si ajabu hata matangazo ya jumapili haujasoma hata mara moja. Unagopa kumpigia simu Mhunaji shame onu mzee wa kanisa!!!!
Mimi...
Wana jf habarini za jmosi, naombeni kupewa uelewa ni kwa nini baadhi ya watu huwa wanapenda kuchanganya soda na maji?? Ila katika pitapita zangu hata kwetu Bombay sijawahi ona mtu akichanganya bia na maji. Kwa wanaojua hili naomba kupewa majibu.
Habarini za mchana wana JF.
Aliyekuwa mpiga drums wa bendi ya Twanga Pepeta ndg. Soud Mohammed aka MCD amefariki dunia huko katika hospital ya KCMC alipokuwa amelazwa.
Soure: Kongozi wa Twanga Pepeta.
Mungu ailaze roho yake mahal pema peponi.Amen
Salaam wana JF,
Leo asubuhi nimekamatwa na askari wa usalama barabarani nikiwa naendesha gari. Vibali vyote ninavyo tatizo ni kioo cha mbele (Wind Screen) ina ufa nikaambiwa hili ni kosa na huna budi kulipa faini ya Tshs 30,000. Kwa upande wangu sikuona kama ni kosa kioo kuwa na ufa...
Naona shule bado kufunguliwa, topic kama hii inatusaidia nn hapa. Tuweke mada ambazo ni value adding not this nonesense topics. Mods plse femove this topic
Salam wana jf,
Nimepata habari kuwa eneo la kituo cha polisi Oystebay limeuzwa kwa mwekezaji, na mkataba puia wameshasaini na serikali ili aweze kujenga Hoteli ya Kitalii. Mwenye taarifa za undani zaidi tafadhali atujuze ss tunaoishi nje ya jiji hilo linalosifika kwa foleni.
Nawasilisha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.