Recent content by subadesubking

  1. subadesubking

    JamiiForums Tanzania JF challenge ya "NO REFORMS, NO ELECTION": Target replies 3K

    No reform No election
  2. subadesubking

    JamiiForums Tanzania CRDB Bank hela zetu nani wanazitoa kwenye account

    Ilinitokea mwaka jana Exim bank zilikuja sms za nime purchase bidhaa kama 44,500 zilikuwa 6 na 88,000 nazo 10 aisee nilihisi kuzimia maokoto yenyewe ya kuunga unga nilifuatilia nikawarefunded sema utafuatilia mpka ukome
  3. subadesubking

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Michepuko Experience: Wanaume wote tumepitia, tujadiliane!

    Kama sex life kwenye ndoa ni mbovu,mwanaume lazima atachepuka tui Kama mke ana low libido hii ndo hatari kabisa kabisa Mke na ampe mumewe chakula cha usiku ipasavyo vinginevyo awe tayari kusamehe mara nyingi zaidi kwa sababu mwanaume atachepuka sana tuu.
  4. subadesubking

    JamiiForums Tanzania Happy born day Mwamba Mbowe

    Happy birthday jabali la siasa Tanzania Mungu atakupigania atakushindia
  5. subadesubking

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Weekend story: A Woman of the people

    Let's go lara
  6. subadesubking

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Weekend story: A Woman of the people

    Kubwa la maadui saa ngapi muendelezo?
  7. subadesubking

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Valentine's day

    Happy valentine's day Sky
  8. subadesubking

    JamiiForums Tanzania Badala kulipa deni yeye kaenda polisi, naombeni ushauri nimfanye nini?

    Aiseee una moyo wa ajabu sijapata ona ,,,,, Sent using Jamii Forums mobile app
  9. subadesubking

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Hiliki Ya Chumbageni

    Mkuu usichelewe,,,
  10. subadesubking

    JamiiForums Tanzania Simulizi : Ukweli Wenye Kuuma (Painful Truth)

    Mkuuu!!!!!
  11. subadesubking

    JamiiForums Tanzania Simulizi : Ukweli Wenye Kuuma (Painful Truth)

    Mkuuu fanya mambo
  12. subadesubking

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Akwelina

    Shukrani mkuu
  13. subadesubking

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Akwelina

    Mkuu !!!
  14. subadesubking

    JamiiForums Tanzania Njooni tukumbuke nyakati ngumu tulizowahi pitia

    Niko njema sasa Mungu n mwema sana
  15. subadesubking

    JamiiForums Tanzania Njooni tukumbuke nyakati ngumu tulizowahi pitia

    Baba alizaliwa 1973 na 79 mimi nikazaliwa 1994 Baba na mama wote walishatanguliwa mbele za haki, baba ndio aliyeanza 2000, akamwacha mama mjane na mtoto wa miaka 6. Kwa umri Mungu aliyomjalia baba kuishi duniani si hapa alikuwa kajitahidi kwa kiasi kupambania familia kwa nyumba 2 na mashamba 3...
Back
Top Bottom